arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Kuna sheria ya goli la ugenini safari hii??Kuna makosa kidogo yalifanyika defensively, Bayern wakapita nayo. Kwao tukiwa makini zaidi, tunashinda.
Aisee. Labda Arteta azingue zaidi. Ila hawa tunalingana uwezo. Infact, naona nimemzidi. 😁😁henry henry
Aggregate zitakuja muaibisha mtu huko mbeleni wazee wa full red full house
Hakuna hayo mambo siku hiziKuna sheria ya goli la ugenini safari hii??
Wanahitaji kufanya nn Ili wapite Hawa vijana wa Mwanamboka🤠🤠Hakuna hayo mambo siku hizi
hawana timu kelele tu na kusumbua watuwatu waliingia na matokeo yao ya mfukoni wazee wa full house hakuna mashabiki wa bayern ila experience imeongea
asa wasubiri waje hapa wakuambie jinsi watako enda kummalizia bayern pale pale nyumbani kwake kwa goli 3+
Kulikuwa Jorginho na Kiwior. Kwao walitakiwa Partey na Tomiyasu pia.Arteta amezingua kuanzia alipopanga kikosi. Anaanza na kikosi cha EPL kwenye Champions League.
Unajua Jesus ni wamoto UEFA still unaenda na false 9.
Akitaka tushinde ya marudiano Allianz basi Kai aanzie mkeka, la sivyo safari inaishia hapa robo fainali.
Mimi nimemaliza!
Tunaua mtu pale Allianz rafiki yangu. Arteta hii mechi ya leo ameshajua cha kufanya. Si unamjua jinsi jamaa anavyojua kuadapt? 😁😁Wanahitaji kufanya nn Ili wapite Hawa vijana wa Mwanamboka🤠🤠
Quality sijapinga umemzidi ila kumbuka na yeye atakuwa na advantage kibao kama mlizokuwa nazo nyie leoAisee. Labda Arteta azingue zaidi. Ila hawa tunalingana uwezo. Infact, naona nimemzidi.
Tunafatana hadi huku🤠🤠....tukutane weekend mkuu...huku hakukuhusu...subiria kombe lako la futuhi alhamisiYou have a 99% chance to score you opt to throw your leg to the goalkeeper to buy a penalty 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tukutane Allianz Arena mtaeleza
Tunafatana hadi huku🤠🤠....tukutane weekend mkuu...huku hakukuhusu...subiria kombe lako la futuhi alhamisiYou have a 99% chance to score you opt to throw your leg to the goalkeeper to buy a penalty 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tukutane Allianz Arena mtaeleza
Kulikua na faida gani ya kuanza na Kiwior wakati hasaidii kwenye kuzuia? Kiwior kashindwa mapambano yake yote dhidi ya Sane.Kulikuwa Jorginho na Kiwior. Kwao walitakiwa Partey na Tomiyasu pia.
🤣🤣🤣Tunafatana hadi huku🤠🤠....tukutane weekend mkuu...huku hakukuhusu...subiria kombe lako la futuhi alhamisi
whawana timu kelele tu na kusumbua watu