Arsenal (The Gunners) | Special Thread

watu waliingia na matokeo yao ya mfukoni wazee wa full house hakuna mashabiki wa bayern ila experience imeongea

asa wasubiri waje hapa wakuambie jinsi watako enda kummalizia bayern pale pale nyumbani kwake kwa goli 3+
 
Refa ameonesha upendeleo wa hali ya juu. Mchezaji anapoteza mpira ndani ya 18 halafu anarusha mguu kwa kipa ili amdanganye refa kuwa ameguswa. SAKA alitakiwa straight yellow card ili kukomesha tabia hiyo.
Ingia uwanjani kampe mkuu🤠🤠🤠...inaonekana una roho ya kwann kwlikwli😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…