Sio mchezo!
Kweli mpira ni addiction, na kama ni mpenzi wa Arsenal? Basi wewe hata kukaa haiwezekani, karoho kako juu mno!
Natumaini mli enjoy game kama mie.
NEXT?!
Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.
Nnimesikia Pundit mmoja na mtangazaji anasema defence ya arsenal iko kama greek economy. Je ni kweli the gunners wenzangu. Hiyo greek economy ikoje ?
Yeahh..,good enough.........Mkuu huu ushidi wa 2-1 kwa sasa mfinyu sana ila so far so good
Ahahahaah,kweli mkuu humpendi chamakh,unamchukulia kama swala vile anarukaruka vichaka!but imefika kipindi yule mkorea achukue nafasi ya chamark ... maana anaruka ruka tu pale mbele
Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.
It's refreshing to read such comments from a true Arsenal fan. Ingekuwa imetoka kwa non-Arsenal fan ungesikia plastic Arsenal fans wakisema "haters".
Hongereni kwa ushindi.
Hiyo next wala sitaki kuifikiria kwa leo nikifikiria difensi yetu hii ya kuunga-unga na nikimuangalia Mr. Misifa Adebayor nafikiri Spurs watatusumbua sana.
Yaani leo tumeshinda lakini tumecheza ovyo kidogo yaani tulikuwa tunapoteza possesion kijinga ila sema wapinzani wenyewe nao walikuwa siwo na pengine kwa vile Prof. alikuwa juu.
Tunahitaji kuwa makini sana J'pili.
Hahahahaaaaaa.....Tatizo kule kwako huwa haupo.......The qn is r u a TRUE BLUES FAN??????????????? Tend to stay at home.........Au vp???
Nashangaa wenger kamsajili huyu mkorea kwa ajili ya nini. Chamakh pale ni sawa tu na gogo lilowekwa uwanjani. Hana threat yoyote kwa mabeki wa timu pinzani.but imefika kipindi yule mkorea achukue nafasi ya chamark ... maana anaruka ruka tu pale mbele
Nashangaa wenger kamsajili huyu mkorea kwa ajili ya nini. Chamakh pale ni sawa tu na gogo lilowekwa uwanjani. Hana threat yoyote kwa mabeki wa timu pinzani.
Inatakiwa ampe nafasi..si unaona juzi Oxlade alichofanya? Halafu baada ya game babu anadai hataki kumuweka dogo kwenye presha ya EPL, anasubiri akomae kwanza!anambania kweli huyu Mkorea.,labda kwenye mazoezi haperform fresh.
Inatakiwa ampe nafasi..si unaona juzi Oxlade alichofanya? Halafu baada ya game babu anadai hataki kumuweka dogo kwenye presha ya EPL, anasubiri akomae kwanza!
Mi naona kama Wenger akili ya mpira imeshaanza kumtoka!