Nimeajiriwa ,sema bosi kaniachia kampuni nipo na mwanangu mmoja ndio tunaiendesha ,bosi anaweza kuja mara moja kwa mwezi ku survey tuUmejiajiri ama ni kazi ya kuajiriwa?
😁😁🤣🤣 unakumbuka jinsi Hamisi aliwalaani Manyumbu na Chelkenge? Mashabiki walimchukulia poa ila unaona jinsi hizi timu zinaonja joto ya jiwe, japo si kwa kiasi cha kushushwa daraja?Anaanza kutambika kwanza 😅
Safi sana. Kama mambo yanaenda vizuri hapo poa.Nimeajiriwa ,sema bosi kaniachia kampuni nipo na mwanangu mmoja ndio tunaiendesha ,bosi anaweza kuja mara moja kwa mwezi ku survey tu
Niajiri hata part time broNimeajiriwa ,sema bosi kaniachia kampuni nipo na mwanangu mmoja ndio tunaiendesha ,bosi anaweza kuja mara moja kwa mwezi ku survey tu
Kwa nature ya hii kazi ,mm inaniruhusu,boss anachotaka ripot ya daily basi ,Safi sana. Kama mambo yanaenda vizuri hapo poa.
Mimi aisee sikosi kazi juu ya mpira. Game ngumu mtaani
Kwa nature ya hii kazi ,mm inaniruhusu,boss anachotaka ripot ya daily basi ,
Mechi ya kwao twende ku relax ,tuSafi sana. Leo natamani kuliko chochote kisoka, kuliko hata Madrid kumpiga mamacita, tumpige yule mjerumani mhuni mabao ya kutosha mpaka akasimulie akirudi kwao.
Hata kwao tuwapige sana tu. Sina huruma naoMechi ya kwao twende ku relax ,tu
Tomiyasu aanze ,ila inaonesha ataanza Kiwior maana hajacheza hizi mechi 2 zilizopitaNingependa leo Kiwior aanze badala ya Zinchenko
hamis77 kiswahili ni kigumu aisee. Next time utuwekee kama zilivyo bila ya ku-translate.Martine Ordegaard aliulizwa kama huenda wakawa wanamwogopa Harry Kane!
Ordegaard"Tunapaswa kumheshimu Kane, Na sidhani kama mchezaji yoyote ambaye tutakuwa tunamwogopa".
Sisi tunapaswa kujiangalia sisi wenyewe na ubora wa timu yetu, Ni hayo tu".
Martine Ordegaard
Mm Leo hata kazini sijaenda ,nasubiri baadae Kuna Banda wanaweka mechi zote 2