🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
Arsenal Vs Bayern M ( Pre game Analysis)
✍🏾 UCL.Night inarudi Siku jumanne Pale Arsenal stadium kama inavyojulikana kwa michuano ya Ulaya. Sababu hawahitaji viwanja kuitwa majina Sponsors.
✍🏾 Bayern Wanakuja wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza game Iliyopita Ligi kuu hivyo watahitaji kubounce back kwetu.
✍🏾 Tuchel sio mgeni Sana Kwetu Game set up yake inajulikana anapenda sana kutumia maeneo ya pembeni asa winger na FB kumpa Depth fulani hivi kiuchezaji.
✍🏾 Bayern uwa wanashambulia kwa idadi kubwa Mno ya wachezaji unaweza kuta ata wachezaji 6 au 7.
✍🏾 Maana yake nini Winger wanashambulia kutoka Nje kuingia ndani alafu FB wana overlap.
✍🏾 Lengo lao ni kuoverload Central Area na kupata Mipira kwenye half space kupiga Cross au Mashuti.
✍🏾 Bayern 2-3-5 mara nyingi wapo shape hii au unaweza kuwakuta 2-2-2-3.
✍🏾 Kwa misingi hii endapo mpinzani akiwa Dorminant bila mpira na kucheza Transtion game ni rahisi sana kuwa kamata bayern kwenye counter.
✍🏾 Arsenal Tunaenda Kucheza hii game sio Nyepesi ila tunahitaji utimamu mkubwa sababu tunaenda kucheza na bayern yenye wachezaji wengi wazoefu stage hizi.
✍🏾 Hivyo basi Lazima tuwe na nidhamu nafikiri Approach game Brighton inaweza kutupa kitu pia kwa misingi hii hapa.
✍🏾 Huwezi kumtawala bayern 90minutes totally Controll ila unaweza kumtawala Bayern kwenye matukio yanayo zalisha magoal.
✍🏾 Kwa vile wanatabia kushambulia kwa idadi kubwa basi tunatakiwa kufanya Mid block na Low block ili kuweza kukabiliana na overload yao.
✍🏾 Mbili tuwe imara kiulinzi tuweze kuzuia Mijongea yao asa maeneo ya katikati tunahitaji Central progression.
✍🏾 Tuhakikishe tunalinda Box letu vizuri sababu wana watu kama Kane wanajua kutumia nafasi.
✍🏾 Alafu tuwashambulie kwa kasi hapa tunahitaji "Athleticism" Mtu kama Martinell akiwepo kwanini kwasababu bayern uwa hawapo vizuri defensive shape wakiwa out of possession.
✍🏾 Speed itatupa matukio Mengi muhimu ya kuwashambulia.
✍🏾 Tukiwa na Mpira inatubidi kuhakikishe Tuna overload ili kuua aggressive pressing bayern Pia kumtumia kipa kama Spare Man kwenye kuunda shambulizi.
✍🏾 Vijana inabidi wajitume wawe Fit kimwili na kiakili wasiogope bayern sababu ya majina au ukubwa Club yao.
Naona Arteta akifanya tactical tweak.
Amigos