The lowest xG conceded in the Premier League in 2024:
1. Arsenal - 4.98
2. Manchester City - 12.28
3. Liverpool - 13.56
The Gunners are in a league of their own. View attachment 2956196
Kwa hiyo kuingia nusu fainali ni uhakika?Njia yetu ya UCL ni ngumu nusu fainal ,
Binafsi hata kabla makundi hayajapangwa nimekuwa namuomba Madrid huyu nammudu vzr sana
Mancity vs Arsenal ni mechi ya mbinu na commitment kubwa , hutakiwi kusinzia hata dakika moja
Tukifika Fainal basi kazi imeisha ,
Fainal tutakutana na PSG ,Barca au Atletico Madrid
Mziki upo nusu ambapo naona kabisa Mancity anaenda kumla kichwa Madrid
Kama Madrid atapita basi nacheza Wembley mapema sana
Bayern anakufa jumanne , Allianz Arena tunampigia Haram football,Kwa hiyo kuingia nusu fainali ni uhakika?
United amekua kwenye nafasi ya kutokua na cha kupoteza kwa misimu zaidi ya nane nyuma.Hata me ninachotarajia ni labda Liver ajisimamishe mwenyewe kwa pressure ya kupata matokeo kutokana na race ilivyo.
United sio wa kuwachukulia poa sana kwa kuwa ni kama hawana cha kupoteza, team ya namna hii inakuwa na minimum pressure ambayo inaweza kukupa surprise perfomance in any game.
Pia hii ni derby game, regardless of current forms, game ya derby wakati flani huwa matokeo yake hayazingatii form kabisa. Kwa United akimfunga liver kwa sasa ni kama katwaa EPL, ni game ya muhimu sana kwao kushinda ila utayari wao ni mdogo, lets see anyway!!
Utasikia
"hata ile mechi ya Arsenal ilibidi tushinde"
"Hatuna majeruhi kama Arsenal"
"Garnacho hakua offiside pale Emirates"
Hapo anacheza na timu zingine kabisa.
Na iwe hivyo.Bayern anakufa jumanne , Allianz Arena tunampigia Haram football,
Since day one kama unakumbuka nimekuwa nikisema kama tunamkwepa city ,hakuna timu ulaya yakutusumbua
Kwanza tunacheza aina 3 za mpira ,
Porto walileta harama football tukaenda nao wanavyotaka
Mancity mechi itakuwa ndefu itaamuliwa kwa small details, kila mechi ya Arsenal na city kwasasa imekuwa inakuja na mbinu mpya ,
Vs Madrid mapema tu tupo fainal
Shida ipo hapa Madrid ataweza kuhimili msako wa mancity, last season alikula 4-0
United amekua kwenye nafasi ya kutokua na cha kupoteza kwa misimu zaidi ya nane nyuma.
Na amekua anakutana na Liver.
Na amefungwa mara nyingi mpaka 7
Brother madrid hii sio kama madrid ya msimu uliopita the same thing nilikisema kwa arsenal hii sio kama arsenal ya msimu uliopita ukitumia context ya kwamba madrid alipigwa 4-0 na city etihad its the same na arsenal kupigwa 4-1 na city etihadBayern anakufa jumanne , Allianz Arena tunampigia Haram football,
Since day one kama unakumbuka nimekuwa nikisema kama tunamkwepa city ,hakuna timu ulaya yakutusumbua
Kwanza tunacheza aina 3 za mpira ,
Porto walileta harama football tukaenda nao wanavyotaka
Mancity mechi itakuwa ndefu itaamuliwa kwa small details, kila mechi ya Arsenal na city kwasasa imekuwa inakuja na mbinu mpya ,
Vs Madrid mapema tu tupo fainal
Shida ipo hapa Madrid ataweza kuhimili msako wa mancity, last season alikula 4-0
Njia yetu ya UCL ni ngumu nusu fainal ,
Binafsi hata kabla makundi hayajapangwa nimekuwa namuomba Madrid huyu nammudu vzr sana
Mancity vs Arsenal ni mechi ya mbinu na commitment kubwa , hutakiwi kusinzia hata dakika moja
Tukifika Fainal basi kazi imeisha ,
Fainal tutakutana na PSG ,Barca au Atletico Madrid
Mziki upo nusu ambapo naona kabisa Mancity anaenda kumla kichwa Madrid
Kama Madrid atapita basi nacheza Wembley mapema sana
kambwala ndo nani mkuuKuwashabikia man u Leo nikutafuta magonjwa ya moyo yasiyo na lazima, Mabeki wao waliofit ni Maguire na kambwala , Wana abiria sio chini ya wanne ,
Plus mbinu za Erik Ten hag, kila baada ya dk 1 wanapelekewa moto
Kama unataka kumuona Prof. Janabi ,shabikia Manjesta leo
Me naamini Madrid atapita kwasababu City ya sasa hivi ni rahisi sana kumfikia goalkeeper wao, defence yao siyo nzuriBrother madrid hii sio kama madrid ya msimu uliopita the same thing nilikisema kwa arsenal hii sio kama arsenal ya msimu uliopita ukitumia context ya kwamba madrid alipigwa 4-0 na city etihad its the same na arsenal kupigwa 4-1 na city etihad
ila haimaanishi kuwa yale matokeo yatajirudia nikupe vitu vi 3
kwanini madrid anamuondoa city mapema sana
1 city nsimu uliopita walitumia kila mbinu silaha nguvu mentality kumuondoa madrid kwani walijuaga ipo siku itafika janja janja za madrid na vi comeback plus individual brilliance zitafika tamati soo pep ali m study vizur sana madrid na akamua kwenda kumchinja kwa tactic bora the same tu arsenal mlivopigwa 4-1 mlizidwa na city but arteta had to study the game and go toe to toe with city usifikiri kuwa Ancelotti uko alipo yupo tu kalala uki angalia ana free week ya training session ya kuwa overload players with tactics huku city akiwa na msululu wa match to match mpaka kufikia friday
2 city ana mechi nyingi sababu ana tamaa ya makombe yote yalio mbele yake uefa fa epl haya yote anayapambania sababu ni opportunity na sio kwamba eti imekuja from no where na anataka ku prove ataondoka na 1-2 kati ya hayo kutokana na umiara wa kikosi chake yani squad depth asa shida ipo unapo nga'ng'ania viwili kimoja huponyoka sababu ni injury utakazo zitapata refer to Liverpool best form walienda kwa tamaa ya makombe maa 4 wakaja waka drop sababu ya injury na hio its the same to city
3 city anaogopeka na baadhi ila hii city it's not the same without their proper decisive players naongelea kuondoka kwa gundogan na kina mahrez na palmer city lethal depth imepungua kule mbele kunakuwa kugumu pale ambapo watu watakuwa wame mmark debruyn na rodri basi safari yao inabaki ku possess mpira na hatari inapungua
wenye maono ya mpira washaona city kupita ni ngumu mno stats hazidanganyiMe naamini Madrid atapita kwasababu City ya sasa hivi ni rahisi sana kumfikia goalkeeper wao, defence yao siyo nzuri
Beki wa mpira huyokambwala ndo nani mkuu