Kai anacheza rafu sana ,halafu mpole sana, VVD na Konate wanamjua vzr alichowafanyaKai ananikumbusha mimi nilivyokuwa shule nilikuwa mpole sana mpaka sikuweza kufikiriwa kuhusishwa na vitendo vyovyote visivyo sawa vya wanafunzi.
Kuna siku mwalimu mmoja aliniudhi nikarivenji kwa kumuaribia mali yake flani. Baadae nikakutana nae akiwa amesikitika sana na akaanza kunieleza jinsi kuna mwanafunzi ameharibu mali yake, mimi namsikiliza tu. Akaniambia kabisa "Halafu HENRY14, namjua kabisa ni nani amefanya hivyo, na nitakachomfanya, maji ataita mma". Mimi nikampa pole pale nikamuaga nikasepa zangu.
Huwezi kudhani kama Kai ana kauhuni uwanjani.
Huu hapa , wachezaji 9 walikuwa zone ya BrightonArsenal waliniudhi sana kwa kutofunga bao katika ule mbinyo aisee.
Na hii ndo modern football inavyotaka...Mwalimu anachokutuma unakifanya🤠🤠..hawezi kuwa na quality kama ya Henry au Van Persie au Ozil...lakini ukimwambia nataka wale mabeki 2 wa pale kati wasiwe na siku nzuri basi watakuwa na siku mbaya siku hiyo🤠🤠....unapofanya chaos unatengeneza room of error kwa timu pinzani mara nyingi na hiyo Ina create nafasi kwa timu yako....angalia magoli mengi ya Arsenal msimu huu...kama hajahusika kwny kufunga au kutoa assist basi either mpira ulipita kwake au kuna room of error aliilazimisha kwa timu pinzani....na hiki ndo kinamfanya awe panga pangua hakosekani uwanjaniUnajua nini bro...
Ushasikia mtu anaitwa "kibonge mwepesi"? Yaani mtu ana mwili lakini matendo yake katika mambo flani hayaendani na mwili wake na kukushangaza?
Kai naye anakitu kama ukibonge wepesi kwa jinsi alivyo alivyo tu. Kwa wembamba wake anaonekana kama hana nguvu lakini anazo vizuri tu na anaenda bega kwa bega na kina VVD.
Anavyokimbia ni kama hana mbio lakini anazo. Anaopopokea mipira anaonekana kama hana ball control nzuri ila ball control yake si haba (tena sometimes anakuwa under pressure ya mabeki).
Anakasura ka upole na ka kizembe zembe ila uwanjani jamaa ni mhuni mhuni na katili, kama Saliba na Gabriel. Nilishangaa kuona jamaa ana kadi 8 za njano. Marefa wakimuadhibu kwa faulo au kumpa kadi unaona kama wanamuonea.
Maybe, kama ilivyokuwa kwa Ozil, jinsi jamaa alivyo alivyo tu unawafanya watu wa mjudge tofauti na uhalisia. Ndiyo maana mimi najitahidi kuangalia uchezaji wake zaidi ya jinsi alivyo alivyo, na kuna mambo jamaa huwa anafanya yanaudhi mashabiki balaa 😄.
Nilishakiri kuwa miongoni mwa wasiomkubali Kai na huwa natafuta na kuona machache mabaya anayofanya kwenye game kati ya mengi mazuri anayofanya 😄😄
Nadhani uko sahihi pia. Tunabebana. Nataka mengi zaidi kutoka kwa Kai. Na siku hizi nawadai zaidi Martinelli, Saka, Trossard, Jesus na Odegaard. Naamini wako gia #3 na wanaweza kwenda #4 na #5.Ki
Kifupi ubovu wa kai unafichwa na matokeo ya arsenal.
Kai ana matatizo mengi kuliko mazuri yake.
Nadhani uko sahihi pia. Tunabebana. Nataka mengi zaidi kutoka kwa Kai. Na siku hizi nawadai zaidi Martinelli, Saka, Trossard, Jesus na Odegaard. Naamini wako gia #3 na wanaweza kwenda #4 na #5.
hahahahaha hapana bro. Mimi si nawaona uwanjani...najua wanaweza kufanya mambo.Ww Sasa naona una kakampeni Kako🤠🤠...wachezaji Wana miili ya kawaida kama sisi ila Wana mazoezi sana..Sasa huku kuwadai kwako unataka wacheze kama Shaolin soccer sio🤓🤓...watazidi ku improve as long as wapo pale jino kwa jino na mandevu Klopp....yaani huu mbinyo tunaoutoa na pressing anayofanya Odegaard especially kama jana na yy bdo unamsakama....nimekushindwa mkuu
UtasikiaDe Zerbi "The penalty was clear..."
Angekuwa yule fraud mwenye Kipara, angeleta blaah blaah kama zote View attachment 2956176
[emoji736] 0-3 vs. Brighton
[emoji736] 2-0 vs. Luton
[emoji1666] 0-0 vs. Man City
[emoji736] 2-1 vs. Brentford
[emoji736] 0-6 vs. Sheffield Utd
[emoji736] 4-1 vs. Newcastle
[emoji736] 0-5 vs. Burnley
[emoji736] 0-6 vs. West Ham
[emoji736] 3-1 vs. Liverpool
[emoji736] 1-2 vs. Nottingham Forest
[emoji736] 5-0 vs. Crystal Palace
31/33 #PL points in 2024 for Arsenal. [emoji91]
Mwisho wa msimu mnakuwa title kunitenda😃Timu imeimarika sana, title contender
The lowest xG conceded in the Premier League in 2024:
1. Arsenal - 4.98
2. Manchester City - 12.28
3. Liverpool - 13.56
The Gunners are in a league of their own. View attachment 2956196
Kwa hiyo kuingia nusu fainali ni uhakika?Njia yetu ya UCL ni ngumu nusu fainal ,
Binafsi hata kabla makundi hayajapangwa nimekuwa namuomba Madrid huyu nammudu vzr sana
Mancity vs Arsenal ni mechi ya mbinu na commitment kubwa , hutakiwi kusinzia hata dakika moja
Tukifika Fainal basi kazi imeisha ,
Fainal tutakutana na PSG ,Barca au Atletico Madrid
Mziki upo nusu ambapo naona kabisa Mancity anaenda kumla kichwa Madrid
Kama Madrid atapita basi nacheza Wembley mapema sana