Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tafuta Chaka lingine, Brighton ameshapigwa packet nzima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kitu inaninyima amani kama kuwaona mashabiki wa Arsenyau wakiwa na furaha, starehe yangu kubwa ni kuyaona maArsenyau yana hasira na huzuni humu kila inapofika mwisho wa msimu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu ni yetu hivyo msitupangie cha kufanya, sisi kama mashabiki wa United furaha yetu kesho ni kumuona liverpunda anaongoza ligi.
Tunawakumbusha tu jmni mna gemu na sisi bado...hii Brighton msione ni wabovu ila wamekutana na makofi ya macho...Sasa nyny ambao hamna formation Wala tactics sijui mtakula ngapi...nawaonea huruma
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kitu inaninyima amani kama kuwaona mashabiki wa Arsenyau wakiwa na furaha, starehe yangu kubwa ni kuyaona maArsenyau yana hasira na huzuni humu kila inapofika mwisho wa msimu[emoji16][emoji16][emoji16]
Imekuwa mwisho wa msimu na siyo mechi kwa mechi tena?
 
Hawa Manunu najaribu kufikiria siku wakikutana na Brighton sijui watafanywaje....maana wanajenga mashambulizi vzuri sana ila leo Sasa wamekutana na kitu kizito....De Zerbi leo atalala anaweweseka kwakwli
Brighton nawakubali sana. Wanamix vizuri team play na individuality. Uliona mabeki na viungo vyao walivyokuwa wanaturn na kuacha viungo wetu kwenye mataa. Hawa wakikutana na manyumbu wanawapiga kono la nyani.
 
Kwa mfano Mimi ukiniuliza timu Gani naichukua kuliko zote nitakwambia Man U.

Lakini siku hizi nawaombea mazuri, kama game yenu ya kesho na Liver nawaombea mshinde.

Lakini nashangaa bado Manyumbu hawatupendi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 999 chatta acha kuudanganya umma, hapa duniani hakunaga mapenzi ya kweli kutoka kwa wadangaji, ukiliona lidangaji linajifanya linakupenda sana tambua tu kua linataka kukuchuna[emoji16][emoji16][emoji16]
Sisi mashabiki wa Unyumbuni tayari tumeshasema kesho Liverpunda atakua on the top of table.
Ni fedheha kubwa sana kwa ligi kuu ya Uingereza kuongozwa na katimu kama kaArsenyau katika mechi za mwisho za ligi.
 
Kesho msiachie kwa wepesi sasa...sio mnatongozwa tu kidogo na Livakuku halafu mnaachia kabisa...
 
Kesho msiachie kwa wepesi sasa...sio mnatongozwa tu kidogo na Livakuku halafu mnaachia kabisa...
Hawa sijui saa zingine wanakuwaje kwa Livakuku. Ni wale wakiangaliwa machoni kidogo wanaangalia chini na kung'ata kucha au kufunika nyuso. Wakishikwa mkono kidogo tu, kwisha habari yao.

Ila naona kesho wanaweza kujitahidi kupambana ingawa hakika kabisa watapigwa, tena kirahisi tu.
 
Kesho msiachie kwa wepesi sasa...sio mnatongozwa tu kidogo na Livakuku halafu mnaachia kabisa...
Kesho ni siku yetu ya kuwalipa fadhila Livapuli kwa ule wema wao wa kutuachia twende nusu fainali kama sio fainali kabisa ya michuano ya FA.
 
Kesho ni siku yetu ya kuwalipa fadhila Livapuli kwa ule wema wao wa kutuachia twende nusu fainali kama sio fainali kabisa ya michuano ya FA.
kwa hiyo mtawaachia wawapige angalau kono la nyani ili watukimbize kwenye GD?
 
Kai Havertz last 7 games:

[emoji460]️
[emoji460]️[emoji2402]
[emoji460]️[emoji2402]
[emoji460]️
[emoji777]
[emoji2402]
[emoji460]️[emoji2402]

Driving Arsenal towards the title.

“Havertz was a bad signing” they said it with such chest as well [emoji1782][emoji1782][emoji1782]
 
kwa hiyo mtawaachia wawapige angalau kono la nyani ili watukimbize kwenye GD?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio tu kono la nyani, ikiwezekana watupe tena 7up nyingine kama ile tulioikunywa msimu ulioisha.
 
Kai Havertz's game by numbers vs. Brighton [RANK]:

100% tackles won [[emoji1628]]
4 chances created [[emoji1628]]
2 big chances created [[emoji1628]]
2 shots [[emoji1626]]
1 assist [[emoji1628]]
1 goal [[emoji1628]]

MOTM. [emoji146][emoji146][emoji146]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…