Nchi ya ahadi wataingia wajukuu zenu kama wakitubu ila sio kizazi hiki cha Sodoma na Gomora(Gay Gunners)Tumeteseka sana jangwani, ila sasa nchi ya ahadi tumeikaribia. Hivi punde tu, tukaingia nchi ya ahadi.
Sijui kwanini mnapenda sana haya mambo. Kila club ina vyama vya supporters upinde.Nchi ya ahadi wataingia wajukuu zenu kama wakitubu ila sio kizazi hiki cha Sodoma na Gomora(Gay Gunners) View attachment 2955674View attachment 2955675
Haijawa hata freekick.Ilikuwa nje ya box
Wako hovyo kwenye ligi ila wana uzoefu na CL.Bayern wana shida gani? Nilitaka tumenyane nao wakiwa fit ila naona wamekua viande tu tutapiga nje ndani
Siyo mbayaStarting XI #COYG🔥🔥
View attachment 2955752
Tukitolewa na Bayern hii chovu itakua ni fedhehaWako hovyo kwenye ligi ila wana uzoefu na CL.
Tusidharau
ilikua tondoke hiyoDuh Gabriel
wanakutuboa awa wew shangaa tuKitakacho mponza Brighton hii Tania yake ya kutaka kupishana
Akae nyuma apigwe chache au akutane na fedheha
Unaangamia kwa kukosa maarifawanakutuboa awa wew shangaa tu
Ngoja tuone wew mwenye maarifa unavyodondosha ubigwaUnaangamia kwa kukosa maarifa