Profile ya Kai as namba 9, ni tofauti na traditional namba 9. The likes of Osimnhen na wengine. Na ndo maana tunahusishwa na kusajili striker mwingine kwa ajili ya next season. Lakini, najua haya yote unayajua.
Arteta aache kukariri. Kuna mechi za kashi kashi zinazomhitaji Kai, mfano wa mechi za City na Liverpool. Lakini game open kama hizi ambazo unategemea mpinzani awe anazuia muda mwingi, inapaswa uanze na natural 9.