Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Apr 3, 2024 #152,541 verifaidi yuza said: ✍🏾Mikel asked if Arsenal are in Phase 4 yet... "We're not far, I think. Getting close to that." Hii habari iwafikie haters wotewa unyumbuni pamoja na Kenge, bado tupo fezi thrii View attachment 2952913 Click to expand... ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase.
verifaidi yuza said: ✍🏾Mikel asked if Arsenal are in Phase 4 yet... "We're not far, I think. Getting close to that." Hii habari iwafikie haters wotewa unyumbuni pamoja na Kenge, bado tupo fezi thrii View attachment 2952913 Click to expand... ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase.
verifaidi yuza JF-Expert Member Joined Sep 13, 2018 Posts 3,126 Reaction score 6,181 Apr 3, 2024 #152,542 Smith Rowe said: ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase. Click to expand... Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣
Smith Rowe said: ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase. Click to expand... Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,513 Reaction score 9,553 Apr 3, 2024 #152,543 verifaidi yuza said: Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣 Click to expand... ningekuwa mchezaji ningehama zamani sana.
verifaidi yuza said: Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣 Click to expand... ningekuwa mchezaji ningehama zamani sana.
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,924 Reaction score 8,760 Apr 3, 2024 #152,544 Hivi nyie mliokomenti miaka 18 iliyopita 2006+ mlikua mnatumia kifaa Gani simu au kompyuta?
whitemoney JF-Expert Member Joined Nov 9, 2023 Posts 1,190 Reaction score 2,541 Apr 3, 2024 #152,545 Sela Son said: Hivi nyie mliokomenti miaka 18 iliyopita 2006+ mlikua mnatumia kifaa Gani simu au kompyuta? Click to expand... hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamani sisi ndo bado tunajiona wajanja, wenzetu wanyamwezi longtime
Sela Son said: Hivi nyie mliokomenti miaka 18 iliyopita 2006+ mlikua mnatumia kifaa Gani simu au kompyuta? Click to expand... hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamani sisi ndo bado tunajiona wajanja, wenzetu wanyamwezi longtime
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,924 Reaction score 8,760 Apr 3, 2024 #152,546 whitemoney said: hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamani sisi ndo bado tunajiona wajanja, wenzetu wanyamwezi longtime Click to expand... Smartphone 2006 bongo?
whitemoney said: hivo vifaa walishakuwa navyo tangu zamani sisi ndo bado tunajiona wajanja, wenzetu wanyamwezi longtime Click to expand... Smartphone 2006 bongo?
whitemoney JF-Expert Member Joined Nov 9, 2023 Posts 1,190 Reaction score 2,541 Apr 3, 2024 #152,547 Sela Son said: Smartphone 2006 bongo? Click to expand... 😀😀 we kubali tu wenzetu walishakuwa nazo 🙂🙂
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Apr 3, 2024 #152,548 Time for none regular starters to show their importance at the club
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Apr 3, 2024 #152,549 Kick off next
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Apr 3, 2024 #152,550 Hii arsenal itatupa ugonjwa wa kisukari Tusipokua makini 4g+ ndio zinaanza Leo rasmi, big games zote tumezimaliza
Hii arsenal itatupa ugonjwa wa kisukari Tusipokua makini 4g+ ndio zinaanza Leo rasmi, big games zote tumezimaliza
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,905 Reaction score 104,172 Apr 3, 2024 #152,551 Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake. Kwangu kai HAPANA.
Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake. Kwangu kai HAPANA.
Camilo_Cienfuegos JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 11,378 Reaction score 15,384 Apr 3, 2024 #152,552 Tayari, a deserved lead
BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 3, 2024 #152,553 Havertz with an assist Ode with a goal
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,905 Reaction score 104,172 Apr 3, 2024 #152,554 Chuma
BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 3, 2024 #152,555 makaveli10 said: Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake. Kwangu kai HAPANA. Click to expand... Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe.
makaveli10 said: Kai, kai, kai.. jwangu bado, anakosa sifa za kuwa namba 9. Bado ana makosa mengi, matokeo ya timu kiujumla yanaficha aibu zake. Kwangu kai HAPANA. Click to expand... Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,905 Reaction score 104,172 Apr 3, 2024 #152,556 Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? BJB FC said: Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe. Click to expand...
Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? BJB FC said: Duuuh!!! Hili bado linazungumziwa kumbe. Click to expand...
kilamba lamba JF-Expert Member Joined May 27, 2020 Posts 427 Reaction score 738 Apr 3, 2024 #152,557 makaveli10 said: Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? Click to expand... Hujui tu kai siyo Namba 9 wetu..
makaveli10 said: Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? Click to expand... Hujui tu kai siyo Namba 9 wetu..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,905 Reaction score 104,172 Apr 3, 2024 #152,558 Odegaard.. 😂 akili nyingi sana kichwani, unyumbulifu mkubwa sana, miaka miwili mbele arsenal ikiwa inabeba makombe makubwa namuona kwenye tuzo kubwa.
Odegaard.. 😂 akili nyingi sana kichwani, unyumbulifu mkubwa sana, miaka miwili mbele arsenal ikiwa inabeba makombe makubwa namuona kwenye tuzo kubwa.
BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 3, 2024 #152,559 makaveli10 said: Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? Click to expand... Profile ya Kai as namba 9, ni tofauti na traditional namba 9. The likes of Osimnhen na wengine. Na ndo maana tunahusishwa na kusajili striker mwingine kwa ajili ya next season. Lakini, najua haya yote unayajua.
makaveli10 said: Nazungumzia mpira ninavyouona, ajabu nini mkuu? Click to expand... Profile ya Kai as namba 9, ni tofauti na traditional namba 9. The likes of Osimnhen na wengine. Na ndo maana tunahusishwa na kusajili striker mwingine kwa ajili ya next season. Lakini, najua haya yote unayajua.
HENRY14 JF-Expert Member Joined May 13, 2021 Posts 3,593 Reaction score 6,932 Apr 3, 2024 #152,560 Leo tunacheza kwa kuhifadhi nguvu. Labda tunaona mechi ya jumamosi ni ngumu zaidi