Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
La 3Ni mawili hapo mimi pia nimekinotice hiki kitu so either Ambangile anasoma jf au Hamis Masingeli anasoma kwa msela.
Ambangile shabiki wa Manyumbu.La 3
Hamis ndiye Ambangile
Si anaweza tu kuficha identity yakeAmbangile shabiki wa Manyumbu.
Acha kumsingizia Hamisi mambo ya ajabu ajabu.Si anaweza tu kuficha identity yake
Akiweka kila kitu sawa jf na huko duniani i watamshtukia I'd yake
Lazima abadili kidogo kuchanganya watu
Acha kumsingizia Hamisi mambo ya ajabu ajabu.
Mimi najua Hamisi ni Aaron na mtu mwingine anajiita mzee wa jambia sijui...yaani full Gunner. Hawezi kuwa nyumbu kabisa
Uandishi wao tofauti kabisa.Acha kumsingizia Hamisi mambo ya ajabu ajabu.
Mimi najua Hamisi ni Aaron na mtu mwingine anajiita mzee wa jambia sijui...yaani full Gunner. Hawezi kuwa nyumbu kabisa
Mimi nafikiri hivyo kwa sababu Aaron aliondoka ndo Hamisi akaja na style zao zinafanana sana.Hee
Yaani kwamba Aroon ndiye Hamis?
Friends of Luton tumeweka kambi hapa leo mtaeleza
Umewahi kufatilia kwenye mijadala ya dini?Aroun ni msabato Hamisi ni muislam.
kwa jinsi race ilivokuwa kali ya kuwania ubingwa.. sidhani kama arteta atawachukulia luton kiuwepesi..Nimejitahidi kuchagua wachezaji watano wapumzike na wengine watano waanze leo ili waliocheza sana wapumzike na waliokaa muda bila kucheza wapashe. Naamini tunaweza kushinda tukiwa wasongo kuliko Luton.
Wapumzike/ Wakae bench kwanza vs wepi waanze badala yao:
1. Ben White - Tomiyasu aanze halafu tusitumie inverted RB
2. Kiwior - Zinchenko aanze halafu tutumie Inverted LB
3. Martinelli - Jesus aanze LW , atakuwa anaswitch na CF na RW, atakuwa anakuja kumsaidia Zinny ambaye hakabi vizuri kama Tomiyasu
4. Saka - Trossard aanze RW, atakuwa anaswitch na CF na LW. Trossard haihatiji sana kushuka kumsaidia Tomi, hivyo atakuwa outlet nzuri ya attacks.
5. Jorginho - Partey aanze ili aanze kuchangamka kupambania 90min, akichoka ndiyo Jorginho aingie
Nashindwa kuwampumzisha Odegaard, Gabriel, Saliba na Rice. Ningependa Nelson apate nafasi ila nadhani tunamhitaji Kai aanze CF akiwa flanked na Jesus na Trossard ili tuongeze urefu na tuwe na target man ikibidi tucheze long balls za ku knock down. Trossard na Jesus wakiingia ndani na kuwaachia kina Tomi na Zinny waoverlap, watakuwa kwenye nafasi nzuri za kufanya mauaji (nikimuona Trossard nje kidogo ya 18 au ndani, huwa napata amani maana najua akishoot tu, kamba).
Bahati ni kwamba wana injuries wa kutoshaLineup tayari lakini?????? Luton sio wa kuwachukulia poa
ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase.✍🏾Mikel asked if Arsenal are in Phase 4 yet...
"We're not far, I think. Getting close to that."
Hii habari iwafikie haters wotewa unyumbuni pamoja na Kenge, bado tupo fezi thrii
View attachment 2952913
Kaka si uhamie site tu kwenye makombe ya nini kutafuta maumivu uku ganaz 🤣🤣🤣ujinga tuu, ahakikishe hatotoki kapa msimu huu sio maswala ya phase.