Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
trossard ilikuwaje akashindwa kutoa pass hapa aseeeePartey atumaluzie hizi games 9 za mwisho, ndoo zinaingia pale arsenalView attachment 2950562
First touch ilibidi atoe crosstrossard ilikuwaje akashindwa kutoa pass hapa aseeee
HuuPartey atumaluzie hizi games 9 za mwisho, ndoo zinaingia pale arsenalView attachment 2950562
mimi nachojua mwisho wa msimu nyie mnatoka bila kombe lolote hata mzifunge timu zote ila mwisho wa msimu mtabeba hii tu.ww bado uko fc porto ? Unatukumbusha mambo ya fc porto ?
mbna unachelewa hvo? wenzako wanahama timu kila siku ,
walikuwa porto wakaona ngumu wakahamia Brentford bado mambo magumu
jana waka hamia cty mambo ndio magumu zaid .. wenzako sasa hv wamehamia buyen munich . wanasubir arsenal afungwe ..
Haki ya MunguOf course Manyumbu na Chelkenge hawastaili hata salamu ila ndo hvyo tunaenda nao kuwafariji tu ila walitakiwa wavamie majukwaa ya kina Fulham huko ndo wakabishane nao maana hzo ndo level zao sasahvi
Angekuwa Martinelli nafasi aliyopo Trossard kwa spidi yake angeweza kushinda.Partey atumaluzie hizi games 9 za mwisho, ndoo zinaingia pale arsenalView attachment 2950562
Kabisa. Pale ilikuwa ni first time cross sema pia hatukuwa tayari kisaikolojia kwa move kama ile. Trossard hata hakuangalia pembeni kama Martinelli amepandaFirst touch ilibidi atoe cross
Second touch, move ikaharibika akawa hana namna
Mashabiki ya Chelkenge na Manyumbu huwa Kila yakiandika hmu ndani yanaweka na picha...hii ni kuonesha yalivyo desperate kuona tunaanguka ila ndo hvyo tena tunazidi kusonga...bahati mbaya sana kwao second leg kule Allianz Arena braza Timber atakuwa yupo benchi anasubiri kuingia dk ya 80 kupaki kontena pale mbele ya goli letu tukiwa tunaelekea nusu fainali🤠🤠🤠...Kabisa. Pale ilikuwa ni first time cross sema pia hatukuwa tayari kisaikolojia kwa move kama ile. Trossard hata hakuangalia pembeni kama Martinelli amepanda
Na kazia,,, "na umbwa yeyote anayekatiza Mbele"Sasa nimeelewa kwa nini wanalalamika sana juu ya HARAMU football tuliyoitandaza pale EMPTYHAD kwa mashabiki wa zamani wa Barcelona na Plastic fans.
N hivi, niggers huwa wana enjoy sex football ikiwa na magoli mengi tunalolipiga. So walikuwa wanalisubiri kwa hamu. Jinsi tunavyo overload kiungo, positional play za Kai, Zinny ku-invert ndani na kadhalika.
Sasa, badala ya kuikosa hii, ndo malalamiko yamekuwa mengi. Tuwaondoe shaka, sexy football inarudi tena kesho dhidi ya Luton na umbwa yeyote anayekatiza mbele.
Kuna yle mjinga alokuwa anatujazia nzi hmu ndani tangu mwanzo wa msimu nilimuambia Hilo ni genge la wavuta bangi sio timu ya mpira...akawa anakaza shingo hmu ndani....aibu alonayo sasahvi hata kuja kusalimia tu anaona haya...hii yte ni kufata akili za nyumbu kama Flano...ndo akafikia hapqNewcastle: twende mbele kidogo...turudi nyuma kidogo...
Hawa jamaa hawaitaki tena ulaya?
unyama sanaTimu nzima iko Full sasa ni wakati wa kurusha jezi juu, Partey,Rice na Jorginho nani adake mapema jezi ili akamate Dimba
Tomy,kiwior na Zinny nan adake jezi mapema acheze LB
Kai,jesus na Nketia nan adake jezi mapema acheze 9
Kai,Vieira,rice,smith nan adake jezi mapema acheze LCM
Nawaone huruma ambao bado hawajapitishiwa Msalaba wa Jumuiya kila nyumba utapita tu..
ulaya ndo hawaitaki nyukestoNewcastle: twende mbele kidogo...turudi nyuma kidogo...
Hawa jamaa hawaitaki tena ulaya?
Ni mawili hapo mimi pia nimekinotice hiki kitu so either Ambangile anasoma jf au Hamis Masingeli anasoma kwa msela.Huyu ambangile muandiko wake mbona Kama wa hamis77 ?View attachment 2951433
Ambangile atakua yupo humu jf, tulianza kuvisoma kwa hamis77 alafu tunakuja kuvikuta kwa ambangileNi mawili hapo mimi pia nimekinotice hiki kitu so either Ambangile anasoma jf au Hamis Masingeli anasoma kwa msela.