umesaau nini nyinyi kilichowakuta dhidi ya FC Porto kibonde mkupiga hata shuti 1.Kitu pekee city walifanikiwa Jana ni kuzurura na mpira tu ila mnawapa sifa team imezurura na mpira mda wote on target 1 dakika 97 zote...On target Yao sio open play ilitokana na mpira wa kona
We are Arsenal
Hatuogopi timu yoyote View attachment 2950478
Ndio maana ya haramu football, ku neutralize mpinzani.umesaau nini nyinyi kilichowakuta dhidi ya FC Porto kibonde mkupiga hata shuti 1.
ww bado uko fc porto ? Unatukumbusha mambo ya fc porto ?umesaau nini nyinyi kilichowakuta dhidi ya FC Porto kibonde mkupiga hata shuti 1.
Partey anarudi taratibu.Partey atumaluzie hizi games 9 za mwisho, ndoo zinaingia pale arsenalView attachment 2950562
Hakuna kazi ngumu kama kucheza na Arsenal ,kama unaona Arsenal wepesi subiri wakutane na timu yakoView attachment 2950532
umesaau nini nyinyi kilichowakuta dhidi ya FC Porto kibonde mkupiga hata shuti 1.
City, liver wametuchangia 4 points
Nyumbu ameshatubariki 3 points bado 3 points zingine. Hizi ni lazma azitapike
Spurs na Kenge wametuchania point 1 kwa kila mmoja hizo tatu zilizobaki watazitapika tu
View attachment 2950337
Mechi ngumu tumemaliza leo...habari za Tano Tano zinaanza upya j5 hii...TAfuteni kocha wa kueleweka aisee...Yale matobo mnayoacha kati ya midfield na beki zenu tukikutana tusilaumiane🤠🤠
Mule muleWalcott kasema Arsenal ametoa blueprint jinsi gani ya kuistopisha City.
Hata hivyo hii blueprint ni ya kumzuia Arsenal pia. Newcastle na Porto waliitumia kwetu. Wakasifiwa kutubana tukazodolewa kutoscore
Jana blueprint hiyo tumeicheza kwa City wanakasirika tulivyowabana na hawawazodoi City kutoscore.
Why?
Graham alisema "Kuchukiwa ni sehemu ya historia yetu" na mimi nasema hizi ni chuki tu.
Tungeshinda bado wangelaumu.
Arsenal hajamuachia possession City kwakua kazidiwa, hapana. Hii ni game plan. Last season tulikua na possession 64 wao 36 ila tulipigwa 3.
Ni time wasting kujaribu kudeal na kila shabiki.
HumuNdio maana ya haramu football, ku neutralize mpinzani.
Tunachoshangaa ni hivi, baada ya Porto kutuchezea haramu football, tukasemwa sisi.Jana sisi tumecheza haramu football, nilitegea City ndo awe anazodolewa mtandaoni, lakini kinyume chake kelele zote zinakuja kwetu!!!!!
Sijui umenielewa???
Small club mentalityMpk Braza Bernado kakiri🤠🤠...jini wamelifuga wenyewe Sasa linawasumbua...habari ya kuwa wanatufungafunga kwa Sasa wasahau...na tukipata striker ambaye Hana mambo mengi...kipara atatangaza kuondoka kama mwenzie Klopp...tumetengeneza timu ya manunda....nasubiri mechi na Bayern kwa hamu sana...tuone wale wababaishaji watapitia wapi
Nyie badala y kumfunga bingwa muwe bingwa mnaleta ngonjera zenu za kitoto. Ndio mana ubingwa mtausikia kwnye chupa.Walcott kasema Arsenal ametoa blueprint jinsi gani ya kuistopisha City.
Hata hivyo hii blueprint ni ya kumzuia Arsenal pia. Newcastle na Porto waliitumia kwetu. Wakasifiwa kutubana tukazodolewa kutoscore
Jana blueprint hiyo tumeicheza kwa City wanakasirika tulivyowabana na hawawazodoi City kutoscore.
Why?
Graham alisema "Kuchukiwa ni sehemu ya historia yetu" na mimi nasema hizi ni chuki tu.
Tungeshinda bado wangelaumu.
Arsenal hajamuachia possession City kwakua kazidiwa, hapana. Hii ni game plan. Last season tulikua na possession 64 wao 36 ila tulipigwa 3.
Ni time wasting kujaribu kudeal na kila shabiki.
We umemfunga?Nyie badala y kumfunga bingwa muwe bingwa mnaleta ngonjera zenu za kitoto. Ndio mana ubingwa mtausikia kwnye chupa.
View attachment 2950767
sasa kuna wataalamu flani humu daily kutusagia kunguniMpk Braza Bernado kakiri🤠🤠...jini wamelifuga wenyewe Sasa linawasumbua...habari ya kuwa wanatufungafunga kwa Sasa wasahau...na tukipata striker ambaye Hana mambo mengi...kipara atatangaza kuondoka kama mwenzie Klopp...tumetengeneza timu ya manunda....nasubiri mechi na Bayern kwa hamu sana...tuone wale wababaishaji watapitia wapi