Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa hivi ili upige shuti golini mwa Arsenal unahitaji uwe umeshiba.

Katika mechi 2 tulizocheza na City msimu huu kafanikiwa kupiga mashuti mawili (2) tu langoni.

We are cooking!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tunamsubiri Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi atuchambulie hii haramu football toka kwa Master Class of failure.


 
Mmeshabadili beat sasahivi...mchana mlikuwa mnatupiga mikwara hapa kwmba tunaenda kufumuliwa kwlikwli...mliloombea halijatokea mnaanza kuja na mikwara ya kina Chelkenge na Manunu...ndugu zetu TAfuteni makocha wa kueleweka...Manunu na Chelkenge wte Watakula 3+...Spurs sio shida yetu..hao kina Aston Villa na Luton sijui wajiandae na kono la nyani...mwaka huu tusipobeba kwa point tutabeba kwa magoli...tabu ipo palepale....tunawaomba sana ikifika mechi ya Bayern mje kuwanga tena Ili tufanye yetu🤠🤠🤠
Sas
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Uzuri Mungu hua hakunyimi vyote, anakunyima Makombe lakini anakupa mdomo.
Raha ya Arsenyau ni zile mechi za mwisho za kumaliza ligi, jinsi tunavyoshuhudia matumaini hewa yanavyo yeyuka na kua kilio na majuto kwenye hili jukwaa pendwa.
 
Narudia tena...mlitutishia hmu ndani kama hao Mama Cita wanatoka sayari ya Jupiter wakati wanakata magogo kama wenzao tu...Sasa mechi ngumu imeisha leo🤠🤠...kama mnategemea tukwame pigeni Dua nusu ya kikosi waumie wte...vngnevyo 5g show yake inarudi upya....
 
Ndomaana wakaitwa nyumbu mkuu🤠🤠...kocha wao kutwa kuiongelea Arsenal Sasa naona haka kaugonjwa kawaambukiza hadi mashabiki...yaani wao wakishinda kocha anasema tupo vzuri kuliko Arsenal wakidundwa anasema Arsenal ile mechi bila lile goli kukataliwa tungewafunga siku ile...basi na mishabiki nayo inacheza beat lake🤠🤠
Unapokuwa Shabiki wa manure akili huwa na ujazo wa Kisoda cha PEPSI take away.
 
Sisi huwa tuna screenshot coment tu
 
Mikel Arteta juu ya Saka:

"Vema, kama unavyojua amekuwa nje kwa wiki chache sasa na shida kidogo na alikuwa akihisi uchovu huo. Hivi sasa, hajafunza. Alifanya mazoezi siku moja kabla ya mechi - alikuwa na mchango mkubwa, lakini dakika 90 zilikuwa nyingi sana kwake leo.
 
Manchester City vs. Top 6 in the league this season:

[emoji777] Draw against Chelsea
[emoji777] Draw against Chelsea
[emoji777] Draw against Liverpool
[emoji777] Draw against Liverpool
[emoji777] Draw against Tottenham
[emoji777] Draw against Arsenal
[emoji777] Defeat against Arsenal
[emoji736] Victory against Manchester United
[emoji736] Victory against Manchester United
 
Hii flano na allypipi wataipita Kama hawaioni hivi[emoji1]
 
Pep alikosa Solution [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Walipata ON TARGET moja iliyotakana na Kona[emoji1787][emoji1787]

[emoji838] What is the solution playing against an opposition with a low block?

Pep Guardiola: “Kill someone, maybe?”.
 
Kitu pekee city walifanikiwa Jana ni kuzurura na mpira tu ila mnawapa sifa team imezurura na mpira mda wote on target 1 dakika 97 zote...On target Yao sio open play ilitokana na mpira wa kona

We are Arsenal

Hatuogopi timu yoyote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…