Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jorginho wana mpin wachezaj wawili asipate mpira kama umeangalia vzr kwaiyo hata kupokea mpira ni ngumu sana kwake
 
Ian Wright na Shaun Wright-Philips wanapiga punditry pamoja. Safi sana hii.
 
nimewahi sema humu arsenal play style yake kama yanga watu wakaleta ohh usifananishe arsenal na taka taka nope

in football context wise hizi ni timu changa zenye kule changamoto kubwa kwenye soka la kisasa

just imagine tactic za leo na jana yanga mwache Professional akae na mali unakuwa deep back then your proper midfield na backline wote wanaenda kwa phase pattern ya ukabaji bora (kukabia juu) ukiwa na discipline yakutafuta mwanya wa kumuazibu through balls long balls counter plus kufunguka kwa mpinzani inaleta possibilities ya ku kill the match mapema.

soo far hamna hamna leo draw in which ita mfavor arsenal toward
title race vs Liverpool ahead
 
Kilio changu kimesikika au uwezo wa kuona mpira unafanana na Arteta

Partey in

Bado martinel kuingia

Hii game city anakufa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…