Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Friends of...

Nooo, hao wajomba mnaocheza nao leo hawahitaji u-friend na mtu yeyote.

Kama unasikiaga phrase "kumkata ngebe" ndo leo sasa.

Sio kwa ubaya, mwenye matokeo ya City vs KONDOO mechi 20 za mwisho hapo Etihad ayatume tuyaone. Flano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nimetoka kuangalia matokea ya Last 50 games Arsenyo vs Mancity aibu nimeona mimi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
ila ratiba yetu imekaa kiroho mbaya sana ase
yaani baada mechi ya leo bado kuna villa, mara brighton
eboo!.......
 
John Stones is in the Manchester City squad, per reports. It’s the second time Pep Guardiola has completely lied about his fitness ahead of a game against Arsenal. He’s scared.

Pep hatamani hata kidogo kukutana na arsenal hii, Ila hana namna
Alete janja janja lakini lazima alambwe kichwa
 
Amuanzishe kabisa ikiwezekana🤠🤠...sisi tunachotaka mpira uchezwe...mwnye nguvu atashinda
 
[emoji599] Kai Havertz STARTS for Arsenal. [@SamC_reports] #afc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…