Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Its today or ne
Friends of...

Nooo, hao wajomba mnaocheza nao leo hawahitaji u-friend na mtu yeyote.

Kama unasikiaga phrase "kumkata ngebe" ndo leo sasa.

Sio kwa ubaya, mwenye matokeo ya City vs KONDOO mechi 20 za mwisho hapo Etihad ayatume tuyaone. Flano
Mkuu unateseka sana.anyway bet kistaarabu mkuu
 
[emoji599] Gabriel Martinelli, Bukayo saka and gabriel magalhães all are travelled with arsenal squad ahead of manchester City.
 
Jana Dortmund kampiga Bayern na alikua na huo ukame kwa miaka 10.

Kijiti kipo kwetu sasa.

Anaweza akatususia mpira kama game ya msimu uliopita au kama alivyocheza na Liva msimu huu. Tukimess up ana Haaland, Alavarez.

Ukijisahau ukaacha mpira kwenye 23 yards kuna long shot merchants wawili, Rodri na De Bruyne.

I think wana mbinu nyingi za kufunga on the regular kuliko sisi.

Ila kubwa kuliko ni mentality. Pep anasema bado kikos chake kina attitude ya "Unataka kuchukua taji letu? Tupigane kwanza" wametuacha hapo, but kiukweli tumeimprove tofauti na misimu iliyopita.

Shaky, ila tumejitahidi kuimprove.

Akishinda City sitoshangaa tukishinda sitoshangaa
 
Binafsi nilikua napenda tungeingia hivi[emoji116]


Martinel. .................... Kai...............................saka
.
.
......Rice....................partey.................... odegard
.
.
.Zin................ Gabriel....Saliba....................White
.
.
..................................Raya


City anakufa 3 kavu za bila ubishi
 
Hapo kwa Party partey aanze joginho . Dkk y 60 aingie fundi partey kwa ajili ya msako
 
nyie kenge na nyumbu huwa mnamkuza sana pep
 
kwani martinel atakuwepo?
 
Leo wakukaba ni kdb, Bernardo na Rodri tu. Haaland akikosa msaada wa hao watu huwa anakua beki wetu
Walker ndio hayupo waliobaki Full backs za city zote hazina mwendo. Hii ndio iwe advantage ya kumpigia city

Saka na martinel hii ni show yao

King Kai as cheat code

Odegard master mind

Possession sijajua atachukua Nani, ila points 3 tunaondoka nazo iwe kwa kutaka au kibabe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…