mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,592
- 19,228
Hizi games za kumalizia ligi, zilikua zinatukuta tupo na majerui wengi, hasa hasa key players. Mfano msimu uliopita, partey, saliba
Msimu huu, majerui ndio wanarudi uwanjani huku tukiwa tunaongoza ligi kwa gap dogo mno.
Hapa inabidi tukaze sana. Kuna wakati itabidi tucheze mpira wa kinyumbu kupata points 3
Game za mwishoni, kila game huwa ni ngumu kwa teams zote.
Kuna battles ya wanaoshuka daraja
Sometimes Bora ucheze na Newcastle/nyumbu/Kenge kuliko timu inayojitafuta kutoka kule chini
Kuna battle la top 4 hapa anahitajitaka timu moja (Aston v, Spurs)
Arsenal, city na Liverpool kimahesabu hawa hawatoki ndani ya top 4
Kuna battle la Europa (nyumbu, Brighton, westham)
Lakini Kuna uwezekano mkubwa Kati ya Aston Villa au Spurs akashikilia nafasi ya Europa
Arteta inabidi achange karata zake vizuri, atulize akili na asiwe predictable