Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Zinsberger akikatiza kwenye anga zangu lazima nikamtambulishe kwa mama na afundishwe kupika mtori na machalari. Namuweka ndani mazima. Kimpira favourite wangu ni McCabe.
 
Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Kiuchezaji wanaonivutia:

Beth Mead, Kim Little, Kate McCabe, Lotte Wuben-Moy, Leah Williamson, Stina Blackstenius, Alessia Russo, Cloe Lacasse, Frida Maanum, Cooney Cross na Vivi Miedema kwenye ubora wake.

Kimuonekano/Kimaumbile (Kwa Arsenal WFC):

Leah Williamson, Alessia Russo, Stina Blackstenius, Victoria Pelova, Cooney Cross, Cloe Lacasse na mbrazili mmoja yupo kwa mkopo Madrid Castilla wakuitwa Gio.
 
Mchezaji gani kwenye timu ya Arsenal wanawake, unamkubali?
Mimi wapo kama sita:
1. McCabe, huyu hata Stars anaanza
2. Lotte Wuben-Moy, Stars anaanza
3. Leah Williamson
4. Little
5. Mead, kidogo na
6. Blackstenius
Mbona Alessia Russo simuoni kwny list...yule mm ndo namkubali๐Ÿค 
 
Kuna mdogo wake Leece James yupo Chelsea (Lauren James), yule dada anajua., pamoja na golikipa wa Aston Villa Leat. Wale timu ya Taifa ya wanaume Tz wanaanza bila ubishi
 
Lauren James yule ni mchezaji hasa sema shida yake ana nidhamu ya chini mchezoni...anaweza akafanya rafu za hatari za kuvunja wenzake kabisa
Kuna mdogo wake Leece James yupo Chelsea (Lauren James), yule dada anajua., pamoja na golikipa wa Aston Villa Leat. Wale timu ya Taifa ya wanaume Tz wanaanza bila ubishi
 
| Declan Rice on Man City vs Arsenal on Sunday:

โ€œWe know what a big game it is going to be, a potential title-decider, itโ€™s going to be really tight.

โ€œWe have got to go to the Etihad which is going to be really tough, but if you want to get past that barrier of Arsenal being labelled stuff, you have to go there and win.

โ€œWe have to show that steeliness and character to prove we can be one of the best teams.

โ€œThereโ€™s no doubt that City are the best team in the world at the minute, but we have full confidence and belief as a group and the manager that we can get a result.โ€ [via @MailSport] #afc #MCIARS
 
๐Ÿ…ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

โœ๐Ÿพ Kwanini Arsenal inatajwa kwamba Summer Dirisha Usajili wanahitaji kusajili Striker leo tuangalie ili swala kimbinu zaidi na kimtazamo

โœ๐Ÿพ Mpaka sasa Sio kwamba Arsenal hawafungi Magoal hapana wanafunga tangu msimu jana je Striker mpya ana offer nini

โœ๐Ÿพ Soka ni mchezo ambao hauhitaji kuwa predictable utateseka sana Arsenal alivyokuwa Anacheza Msimu jana Sio sawa na Msimu huu baadhi ya nyanja

โœ๐Ÿพ Striker analetwa ili kuwapa Arsenal Dimensions nyingi kwenye ushambuliaji Ukiacha swala goal distributions kuna Nyakati zinahitaji killer

โœ๐Ÿพ Kwa level tunayo endea msimu ujao ni kuraise level na kuwa ushindani muda mrefu

โœ๐Ÿพ Hivyo basi Tunaweza kuwa na options nyingi kiushambuliaji moja Kutumia Striker kama Target Man endapo mpinzani kaziba mianya mingine mfano game Porto

โœ๐Ÿพ Kumtumia Striker kuwin mipambano Mingi kwenye box la Mpinzani ambapo faida kwa team na uwepo wake ndani box ( Presence in a box ), Kuna nyakati zinahitaji Tap ins Goals sababu sio kila muda mpinzani ataruhusu goal za mbali au nje box Haaland ana offer kwa City kitu ichi watu wanadai anategea ila mwisho siku ubao unasoma watu hawatangalia umepiga chenga ngapi au mashuti bali Goals

โœ๐Ÿพ kitu cha Namna hii Klop na Guadiola walifanya ili kuwa peleka level nyingine Pep alipo mleta Haaland sio kwamba alikuwa afungi before ila level raiser Uwezo wa Haaland licha kutofunga Final ila unawapa uhakika asilimia kubwa kupata goal match yeyote

โœ๐Ÿพ Ukitengeneza uhakika wa Kupata walau 1 goal per Match kwa striker wako unatengeneza probability kubwa kushinda michezo mingi

โœ๐Ÿพ Hii haina maana tutaacha Distribution ya magoal hapana bali tunatafuta dimensions nyingine pia kiushambuliaji ambapo tutapata kitu kinaitwa unpredictable na wapinzani

Amigos
 
Thomas Partey: "Itโ€™s been tough for me, being injured for a long time, but now I am ready to give everything I can to the team.

"Anything I can add to our level, I will do. I worked hard during my rehab to be able to come back to the level I need to be at. Now I want to get back with the team.โ€

....martinel.....................Kai........,.........,........Saka...

.......,......,.,...,Rice......,,.......,.............. odegard.........

.........,..............,........... partey.....................

 
๐Ÿ…ฑ๏ธUSARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

โœ๐Ÿพ Game ya Man City vs Arsenal nilishatoa pre analysis Siku nyingi tu ila kuna iki kitu nataka niweke hapa mujionee nikichosema City wanafanya anachokifanya Arsenal kwa Ubora kabisa

โœ๐Ÿพ Kuna kitu wanahita " Build up attacks" nini maana yake hili neno na je tafsiri ipi kwenye uchezaji vilabu hivi

โœ๐Ÿพ Build up attack kwa Lugha mama ya kiswahili ni kwamba " Ni idadi ya mfatano wa pass ambao unahusisha pass 10 au zaidi na inaweza kumaliza kwa kupiga shuti au angalau mguso mmoja wa pass ndani ya box"

โœ๐Ÿพ Kwa Lugha nyingine ni series ya pass zinavyopigwa ili kutengeneza shambulizi sasa Kwa EPL hapo team zinazoongoza kwa Build up in attack ni Man city na Arsenal

โœ๐Ÿพ Uku Arsenal akitajwa kuwa na matumikio hayo 120 na Man City 124 unaweza kuona kitu hapa kwamba hii game tactically ni Ngumu sana ila game kama hizi uwa zinaamuliwa na na Small Margins

โœ๐Ÿพ Sio build up attack tu ata pressing style wanafanana hawa moja game kutokosa kabisa Hii game tactical genius

Amigos
 
Arsenyau hio mechi yenu na Mancity jinsi mnavyo jitahidi kuibrand ionekane kama vile ni El Clรกsico wakati uhalisia mnaujua kabisa jinsi kitavyo walamba kwenye dimba la Ittihad, pona yenu mpaki basi ila mkitaka kupishana na vijana wa Pep kono la nyani linawahusu.
Kwenye last 20 results vs City mmeishia kushinda mechi 2 tu tena zote mmeshinda kwenye uwanja wenu wa nyumbani kwa ushindi mfinyu wa kagoli kamoja, halafu mmegongwa mechi 18

Masingeli naomba unikumbushe Arsenyau mara yenu ya mwisho kushinda kwenye dimba la Ettihad ilikua mwaka gani?
Sio kama nina chuki na nyinyi ila nawakumbusha tu maana nyie ni ndugu zangu kabisa, Guardiola mechi zake 10 za mwisho za kumaliza ligi hua anakua na roho mbaya kwelikweli, hacheki na kima yoyote alie mbele yake wakati Asani-wali mechi zao 10 za mwisho hua inajulikana kabisa jambo linaloenda kuwakuta



#Arsenyo ndoo Epl
#Arsenyo ndoo Uefa
#Arsenyo ndoo Wc
#Arsenyo ndoo Cecafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ