Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu toobiter sio kuwawangia mimi nimezungumzia uhalisia wa mambo ulivyo ukiachana na hizo false hopes mnazopeana humu[emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu sana weekend pale Etihad uone namna kipara Pep atakavyokuwa anamaliza machupa ya maji...maana huwa akidundwa anaishia kunywa maji tu🤠🤠
 
Wakati tunacheza nao game ya community shield, mlileta taarabu hizi hizi. Ooh katika mechi 20 za mwisho mmefanya kadha wa kadha. Tukamfunga, mkapoteana.

Ikaja game ya kwanza EPL msimu huu, mkarudia yale yale. Taarabu na ngonjera. Tukamfunga, mkapoteana.

Hii weekend pia, mshaanza taarabu na ngonjera kama kawaida yenu. Tutamfunga, mtapoteana.
 
Kwa nini wanatuchukia?
[emoji23][emoji23][emoji23] kuambiwa ukweli sio kuchukiwa.
Ukiona mtu anakwambia ukweli ujue anakupenda, kina masingeli wanawapea false hopes halafu mwisho wa msimu wanawakimbia mnaishia kupata depression na kuchukua maamuzi magumu ya kujitoa uhai, ndio maana psychiatrist wa kujitolea nipo humu muda mwingia kuokoa nguvu kazi ya taifa isije kupotea bure.
 
Msimu ujao Europa league hamvuki hatua ya makundi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu ujao Uefa tuko pamoja kama kawaida halafu Arsenyau mnaishia kutuona wachawi, kumbe sisi wenzenu tuko vizuri kusolve hesabu za Algorithm.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu ujao Uefa tuko pamoja kama kawaida halafu Arsenyau mnaishia kutuona wachawi, kumbe sisi wenzenu tuko vizuri kusolve hesabu za Algorithm.
Nitamuona kipara Baba Ubaya genius ikiwa atamaliza top 4...Villa na Tottenham wakikubali kuachia hilo gepu watakuwa ni wajinga kwlikwli...nyny sasahv kwa kile kikundi chenu hata europa haiwafai mtaenda kutuaibisha tu...mlitakiwa mkakipute kule Conference league kabisa na kina Stuttgart
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe na Masingeli Baba Ubaya hata kama akibeba Epl msimu huu bado mtamuita Tapeli tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe na Masingeli Baba Ubaya hata kama akibeba Epl msimu huu bado mtamuita Tapeli tu.
Hatumuiti kwa chuki Bali kutokana na kile kinachoonekana uwanjani🤠🤠..Onana butua mbele kwa Bruno akiipata anabutua kwa Rashford halafu baada ya hapo anabutua golini apate asipate itajulikana hukohuko....Sasa kwa staili hiyo hata Nottingham Forest watakufumua tu lazima
 
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho Arsenal alipoteza mchezo wakati Antony Taylor akiwa ni referee. Tunakuwaga na bahati naye
Ni rahisi kumpigisha mamba mswaki kuliko Arsenyo kumfunga Mancity kwenye uwanja wa Ettihad.
Ndugu yangu Montserrat nakukumbusha tu huenda ukawa umeghafilika, huyo Antony Taylor hio jumapili yeye hatacheza mpira bali kazi yake itakua ni kupuliza firimbi tu uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…