Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii ipo madrid
Anyway nowadays mko makini
Lkn kitu hamuwezi ni kuzuia mdomo lkn mnajitahidi sana kwa sasa
 
M
wewe jamaa unaachaga akili sometimes yani mechi iliisha 3 kwa 2 hafu unasema urojo gani hapa goal lenye iliitajika VAR ili mpewe goal lile saizi sioni mtapotokea mimi rtayari wewe hamis77

Tz tunacheza leo huko Baku, nilivoona hilo neno Baku nikawakumbuka AssAnal tuliwagonga hapo tukanyanyua kwapa 😂
Pambana msimu ujao ucheze hata conference league.. nafas ya 11 haikupelek popote .
 
"
Arteta alijiunga na Arsenal ikiwa dead line kipindi team imetoka kufanyia unyanyasaji na United ni mchezaji aliyeonesha kujituma"

Mkuu kwenye unyanyasaji hapo ulitakiwa kumalizia wa kijinsia, yaani sentensi kamili isomeke hivi:

Arteta alijiunga na Arsenal ikiwa dead line kipindi team imetoka kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na timu dume Manchester United ni mchezaji aliyeonesha kujituma.
 
 
Mourinho came to Chelsea in 2004 and won the league 2005 and 2006.

Wenger in 2005 - building the team

Ferguson won the league 2007, 2008, 2009

Wenger in 2007, 2008, 2009... still building the team

Ancelloti came to Chelsea in 2009 and won the league in 2010.

Wenger in 2010... still building the team

Roberto Mancini came to Man city in 2010and won the league in 2012.

Wenger in 2012... still building the team

Pellegrini came to Man city in 2013 and won the league in 2014.

Wenger in 2014... still building the team

Mourinho came back to Chelsea in 2013 and won the league in 2015.

Wenger in 2015... still building the team

Claudio Ranieri came to Leicester city in 2015 and won the league in 2016

Wenger in 2016... still building the team

Antonio Conte came to Chelsea in 2016 and already taking the EPL by storm until 2017.

Wenger in 2017... still building the team

Pep and Klop joined their clubs recently and now they've won premier leagues and now It's Arteta still building the team


Arsenal are you building the Ark of Noah.?.

Wenger orphans ni kituo cha kutupa rahaa
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

🖊 kila kitu na utaratibu wake niliwahi kusema ukihitaji kupanda gorofa ukiachana yenye rift unahitaji kupanda ngazi na ngazi ni steps zikiwa kwenye limited in dimension both vertical and horizontal steps je namaanisha nini je unahitaji kujua👇🏻

🖊 Usajili ni kufanya reinforcement ya kikosi kuwa bora zaidi kwanzia mahitaji yake kiuchezaji adi depth ya kikosi kimchezo

🖊 Hivyo usajili unahitaji Smartness kimaamuzi kwa asilimia kubwa kuliko kitu chochote kile najua unaweza usinielewe

🖊 Smartness maana ake kufanya maamuzi sahihi kwa mahitaji yako na sio kufanya maamuzi kwa vile unacho

🖊Pesa ni sehemu muhimu ya usajili je pesa unaitumia vipi ukiwa na pesa haina maana utumie tu bila vision na strategies

🖊 Hivyo basi sio kila usajili basi utumie pesa nyingi no ata (UEFA) wakaona waje na sheria hizi (FFP) tumia within your Boundary kimapato

🖊 Sasa ata target lazima ziwe limited kulingana na uwezo wako pia na hapa ndipo kuna umuhimu wa scouting kuleta kilicho bora sio bora kwa vile nina pesa utayumba

🖊 Mimi natumai ata usajili wetu wa Summer ni strategies je tunahitaji nini kwa wakati upi na je tukifanya hvyo hatuto asiri financial condition kulingana na miongozo iliyopo

🖊 yote kwa yote usajili ni kamari ni pata potea tu lakini mara zote smartness inalipa kuliko kutumia tu pesa kwa vile ipo

Note: Ambition kwenye usajili kwenye level tuliyopo ni muhimu board kutambua ilo

Amigos
 
🅱️URASA ZA GWIJI ZA GWIJI WA HIGHBURY

✍🏾 Niliwahi kuzungumza kuhusu Arsenal kuwa moja team bora sana msimu huu kwenye Out of Possession Press ( OPP)

✍🏾 Je Arsenal Press Ni vitu gani vya Msingi Wanazingatia kuhakikisha inakuwa effective nitazungumza ufupi sana

✍🏾 Arsenal uwa wanafanya Man to Man press asa eneo la kiungo alafu Winger wanakuwa wana press Mabeki wa pembeni wa team pinzani Arsenal structure mara nyingi inakuwa 4-4-2 au 4-2-3-1

✍🏾 Winger kuwa press Mabeki wa Kati wa Team pinzani na kuzia passing angle ( block passing angle )

✍🏾 Mabeki wa kati na Mabeki wa Pembeni kusogea juu kuwamark wapinzani wao wanaotakiwa kuwa Mark (vpush high to mark their man)

✍🏾 Kuwalazimisha wapinzani kucheza upande mmoja to na wao na kuzia channells za mpira kutokea pembani

✍🏾 Hayo ni baadhi mambo yanafanya tuwe hatari sana tukiwa hatuna mpira bila kusahauv ( Intensity) kubwa mfano Odegaard Arsenal akilazimika Kabia deep uwa anabadiki Structure

Tuwaombe share post kwa gunners

Amigos
 
Kwhyo kwa maneno yako ni kwmba Wenger alianza kazi 2004 sio...hakuwahi kubeba ndoo ya EPL...hii ndo tafsiri yako🤠🤠...ukiwa nyumbu kwli na akili unaziweka kiunoni...yaani unaendaenda tu...mara ya mwsho Manunu kuchukua ndoo ya EPL ni lini kwani....tangu Fergie aondoke....angalieni sana ndugu zetu mtapiga miaka 20 kama sisi....maana sasahv hatuoni wachezaji wa kaliba ya Rooney na kina Vidic...sasahv tuna Erikssen mtu kazi na Lindelof pale nyuma...huku kocha akiwa tactician Kipara Baba Ubaya ten hag🤠🤠...angalieni sana
 
Unatuandama sana humu mkuu. Hebu tukutane tu uwanjani chaap tuwanyooshe vilivyo.
 
perfect Arsenal midfield with 3 players..

gilberto

rice

cazorla
 

Attachments

  • 1711177758746.jpg
    436.8 KB · Views: 11
Unatuandama sana humu mkuu. Hebu tukutane tu uwanjani chaap tuwanyooshe vilivyo.
Shida sio kutunyoosha, kama kutunyoosha mshatunyoosha sana kwa kipigo mpaka cha 8-2
Sisi tunauliza hio timu yenu itajengwa kwa karne ngapi?
Kila msimu wenzenu wananyanyua makombe halafu nyie bado mnajenga tu timu, kuna watu humu kama kina mkorea tokea wamezaliwa mpaka sasa hivi nao wanaitwa baba hawajawahi kushuhudia timu yao inabeba makombe makubwa, maskini ya Mungu wanaishia kuona Liverpool, Chelsea, Man Utd, Man City, Crystal palace wanabeba Epl wao udenda unawatoka.
Wanawaona Chelsea, Liverpool, Man Utd, Mancity, Westham wanabeba makombe makubwa ya Ulaya halafu wao wanaishia kubeba Emirates Cup na Misinia ya ugali.

Badilikeni ndugu zangu tafuteni kocha wa kueleweka, na sisi tunapenda kuwaona mkiwa na furaha, sio kila mwisho wa msimu mnaishia kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu, ila kwa mtindo wenu huu wa kung'ang'ania mid table coach anae wadanganya kwa phase zisizoisha nina uhakika mkorea anaweza kujukuu bila kushuhudia timu yake pendwa inabeba kombe lolote la maana zaidi ya kujisifia tu GD, Pressing na Overloading, positional interchange pamoja na aerial duel
 
Tuseme Mara ngapi, hii ndio phase ya makombe


Epl tunaongoza ligi,
game ngumu iliyobaki Ni moja tu vs wolves ambayo tutakua away

Uefa tunafikiria Kati ya city na Madrid hapa tutakutana na Nani?
 
Tuseme Mara ngapi, hii ndio phase ya makombe


Epl tunaongoza ligi,
game ngumu iliyobaki Ni moja tu vs wolves ambayo tutakua away

Uefa tunafikiria Kati ya city na Madrid hapa tutakutana na Nani?
Labda kama unamaanisha makombe ya chooni.
Kwa mid table coach mliye nae mtakua mnatukanana humu kila mwisho wa msimu.
Acheni ubahili tafuteni kocha wa kueleweka, Arteta sio kocha mbaya ila ni avarage kocha wa Mid table team kama Brighton, Everton, Brentford e.t.c
Kila msimu mtakua mnaishia kusifia pressing & overloading halafu mwisho wa ligi mnamtukana kocha humu.
 
Kama mnaweza kumsifia baba ubaya akishinda mechi mbili tatu, alafu kipigo mfululizo. Basi hauna uwezo au Ni wivu tu wa kutokuona au kujua uwezo wa Arteta

Naomba utufahamishe jf nzima, baba ubaya anacheza mpira gani, anasimamia falsafa gani za mpira, na strength yake ni ipi


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…