Mjomba anakuja mwishoni mwishoni kama polisi au jeshi kwenye movie za mkono za 90s. Unakuta steringi kapambana kinoma kashaua maadui wote, ndiyo backup inakujaπππ¨ Thomas Partey has asked the Ghana FA to exclude him from national call-up in order to regain full fitness after his prolonged injuries. π¬π
Full fit Thomas Partey kwenye title race itakua π₯π₯π₯View attachment 2938309
Huyu jamaa mwisho wa Msimu tumuuze aende akale Pension Saudi Arabia hukoMjomba anakuja mwishoni mwishoni kama polisi au jeshi kwenye movie za mkono za 90s. Unakuta steringi kapambana kinoma kashaua maadui wote, ndiyo backup inakujaππ
Jana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeishaNyumbu tukicheza nao hawafunguki hivi, wanacheza low block unless wapate goli ndio wanaacha space
Ila kono la nyani hawatalikwepa hata wachezeje
..Jana dakika kama 20 walikuwa Wana press , Liverpool wakifanya buildup inakuwa hivi ,ni vile Liverpool walifanya dharau wakawa wanajua mechi imeisha
Vs Arsenal ,7 hag atawadanganya Tena wa press hapo ndio kiama kitawakuta
Wakikaa nyuma maana yake wamesaliti mapambano wametuachia mpira tuwapige Sako la nyani
Wakivizia kaunta
Arsenal ni best team in the world kwa Rest defence
Wakipoteza mpira ,sekunde wamesharudi wote kwenye form ya 4-4-2
Hapo nyuma Kuna 4CBs , Hakuna natural Fullback hapo
White Saliba MagalhaΓͺs Kiwior
White Saliba MagalhaΓͺs Timber
White Saliba MagalhaΓͺs Tomiyasu
But Mikel vs man u anapenda kuwawekea
White Saliba MagalhaΓͺs Zinny,
Nyuma wanabaki mabeki watatu
White Saliba MagalhaΓͺs
Jorginho Zinny
Juu Γdegaard na Rice
Hawa umbwa wataita maji mmaView attachment 2938353
Halafu manyumbu na Kocha wao kitu ambacho hawakifikirii ni kwamba Arsenal ya Sasa na Arsenal iliyoanza ligi ni vitu viwili tofauti.Huyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,
Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:
βAt Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.β π₯± #afc
Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,
Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha
Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,
Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao
Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0
Bado Kuna timu zinafanya utani sana
View attachment 2938308
Unawajua fc Porto, punguzeni kelele nyie hopeless fcHalafu manyumbu na Kocha wao kitu ambacho hawakifikirii ni kwamba Arsenal ya Sasa na Arsenal iliyoanza ligi ni vitu viwili tofauti.
Mwanzoni mwa ligi tulikuwa tuna struggle kutengeneza chances za kufunga, hata mpira wetu haukuwa na flow nzuri.
Me nataka ajaribu kucheza mpira wa kupishana aone mziki wake
"Best team in the world katika transitionManjesta fans wanaongea sana
Tutakutana tu
Ila mjue mnakutana na
Best team in the world katika transition
Best team in the world katika defence
Best team in the world katika kufunga magoli
Sasa chezeni hivi muone mziki wakeView attachment 2938315
Na ndo kombe la mwsho la baba Ubaya maana style yake ya uchezaji tyri watu washaijua...hzi mechi karibia 10 alizopoteza ni kwasababu watu wamemsoma na kuona hyu ni mbabaishajiπ€ π€ ...Last season kwa kiswahili MSIMU ULIOPITA man United alikuwa na mafanikio kuliko arsenal
Winner - carabao cup
Finalist- FA cup
3rd - EPL ambayo haina tofauti na nyinyi 2nd au 4th
Mna kelele tu, lkn hyo style of playing ni yenu, msiforce tuwe saresare
Nina ID moja tu humu aisee"Best team in the world katika transition
Best team in the world katika defence
Best team in the world katika kufunga magoli"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masingeli acha kuiongopea hii misukule ya humu ndani.
Asenyau haiwezi kua best team labda kama unamaanisha best loser.
Halafu Masingeli naona umeshashtukia msimu huu mnaondoka mikono mitupu, hivyo mdogo mdogo naona umeshaanza kuiboost ID yako mpya ya Odegard kwa nyuzi za
[emoji2403]USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
utakayoitumia msimu ujao[emoji1][emoji1][emoji1]
Porto kafanya nini??Unawajua fc Porto, punguzeni kelele nyie hopeless fc
A very good player no question but hii siyo unnecessary wage bill?KIMMICH amegoma kuongeza mkataba Bayern ,Plettigol mwandishi wa habari za Bayern ametaja list ya timu ambazo zitakuwa destination yake
[emoji599][emoji599]| JUST IN: Kimmich is only considering signing for these clubs:
β Manchester City
β Liverpool
β Arsenal
β Real Madrid
β FC Barcelona
A move to Manchester United, Chelsea, and PSG is not an option for him.
[@Plettigoal]View attachment 2938447
Hizo bests of arsenal mara in attacking, scoring, defending hatukuziona....nusra tu za penaltyPorto kafanya nini??
[emoji16][emoji16]daahHuyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,
Erik Ten Hag after beating Liverpool YESTERDAY:
βAt Arsenal, the fourth game of the season - we should have had a penalty in the 87th minute, we scored with Garnacho, disallowed. Then we concede a goal that should always have been disallowed.β π₯± #afc
Bora Chelsea Huwa Wana turn up na wanaweza kukupa game ngumu, sio Hawa manjesta, Jana Liverpool walipoongoza 2-1 , wakawa wanacheza tu muda uishe ,walikuwa wanaweza kuwapiga hata goli zaidi ,
Huo ujinga Arsenal hatuna ,ukiingia kwenye mfumo tunakulamba za kutosha
Cheki wanavyoaacha manafasi halafu sio mara moja ,
Unahitaji pasi 1 had 3 kufika golini kwao
Kabla msimu haujaisha ,manjesta atapigwa 5-0 had 6-0
Bado Kuna timu zinafanya utani sana
View attachment 2938308
Izi gape pasi moja ya partey au Jorginho kwisha kabisaHuyu kocha ana mdomo sana ,inatakiwa siku hiyo ni kuwapiga Pini ,piga msako sana ,