Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani wakati mwingine tuweke ushabiki pembeni tuongelee football katika uhalisia wake,
Saka atageuka beki na Alphonso atageuka winga upande husika.
Ukiweka ushabiki pembeni utajua pia kua Davies baada ya majeruhi kiwango kimeshuka na hua hachezi au anaanzia benchi
 
Kisheria ilitakiwa Bayern awekewe siti za mashabiki wangapi?
 
Kama kuna beki uchochoro ni upamecano yani uki impress anapotea Lazima achome
 
Hii nimeipenda
 
Jamani wakati mwingine tuweke ushabiki pembeni tuongelee football katika uhalisia wake,
Saka atageuka beki na Alphonso atageuka winga upande husika.
Mimi naamini Kila mechi Ina technic zake, sishangai kuona white hatapanda kuattack na badala yake Saka atabaki kuwa winger au pia Alfonso nae asipande kutokana na threat ya Saka.
Naamini Arteta anajua nn afanye kuhusu mechi hiyo.
 
🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY

"Who is Behind Mikel Arteta Revolution"

✍🏾 Tukiwa tunazungumza Mafanikio Arteta basi tusisahau kuna watu pia nyuma yake wanafanya kazi kubwa kwanzia mazoezini uko hawa si wengine ni Backstaff wake

✍🏾 Wapo wengi ila nitataja ambao wapo karibu zaidi nae Na majukumu yao

✍🏾 CARLOS CUETA: Huyu ni bwana mdogo sana miaka 28 tu ila coaching ability yake ni kubwa Arsenal walimtoa uko Juventus akiwa anafundisha U17 kabla hapo alikuwa Atletico madrid U17. Majukumu ya Cueta ni Kudeal na individual performances za wachezaji kuwatrain wachezaji kuelewa Tactical terms huyu ni Cueta

✍🏾 MIGUEL MORINA: huyu Arsenal ilimtoa uko Atletico Madrid ni mtaalamu wa mambo ya sayansi ya Michezo ( Sport science) majukumu yake ni analyst pia anafanya kazi kuwafanya wachezaji kuwa na high performances

✍🏾ALBERT STUIVENBURG: Huyu ni kocha msaidizi Arteta na Mara nyingi anakuwa nae pale pembeni kwenye bench la ufundi, Uyu Arsenal ilimtoa uko Wales akiwa kocha msaidizi japo aliwahi kuwa kocha msaidizi Man united chini ya Van gaal baadae akaenda Genk beligium Na baadae Wales Kazi yake Mr Airpord uwa ni kuwasiliana na Backstaff wengine walio nje ya Bench kumpa views zao ili amfikishie Arteta ndio maana muda wote ana Airpord

✍🏾 INAKI CANA: Huyu Ni goalkeeping Coach Arsenal ilimtoa Brentford 2019 japo hapo kabla kapita vilabu kadhaa kwa kazi iyo iyo goal keeoing coach Kazi yake kuhakikisha makipa wetu wanakuwa trained kwenye ubora unaotakiwa kulingana na mahitaji mchezo Kawahi kufanya kazi na Raya Brentford ni moja watu waliopush sana Raya kusajiliwa

NICO JOVER: Huyu Arsenal walimtoa Man City Japo kawahi kufanya kazi Brentford pia Croatia national team huyu bwana kazi yake ni Kocha wa Mipira ya kutenga ( Set pieces) mfano kona, free kick, Penalt nk. Arsenal kwa sasa ndio team ina magoal mengi ya Kona ikipatikana Set pieces basi 75% kuwa goal kazi uyu kuwatrain wachezaji Sio kushambulia tu ata kukaba mipira kutenga
Amigos
 

Attachments

  • FB_IMG_1710690847400.jpg
    48.7 KB · Views: 10
Ukiweka ushabiki pembeni utajua pia kua Davies baada ya majeruhi kiwango kimeshuka na hua hachezi au anaanzia benchi
Washkaji bado wanaishi na Bayern ya miaka mitano nyuma, wakidhani ndo ya sasa hivi.
 
Mimi naamini Kila mechi Ina technic zake, sishangai kuona white hatapanda kuattack na badala yake Saka atabaki kuwa winger au pia Alfonso nae asipande kutokana na threat ya Saka.
Naamini Arteta anajua nn afanye kuhusu mechi hiyo.
Davies kapoteza nafasi katika first IX kutokana na majeruhi na kushuka kiwango. Game nane za mwisho za Bayern, kaanza moja vs Mainz, na kacheza dk 18 tuuu.
 
Timu ikijihisi imeperform.

Inakimbilia kujifananisha na Arsenal.

Kumbuka kuna City ambayo msimu uliopita tu imechukua treble

Kuna Liver.

Timu ikihisi imepata mafanikio inakimbilia kujifananisha na Arsenal
 
Timu ikijihisi imeperform.

Inakimbilia kujifananisha na Arsenal.

Kumbuka kuna City ambayo msimu uliopita tu imechukua treble

Kuna Liver.

Timu ikihisi imepata mafanikio inakimbilia kujifananisha na Arsenal
Una akili za kijinga sana. Yaani United ana EPL 20 na UEFA za kutosha ajifananishe na katimu hakajawahi kuchukua kombe la ulaya?@Castr
 
Punda kabisa anajisifu kacheza leo J2.

Wenzake tunacheza J4 na J5 for UEFACL
 
Mashabiki wa Arsenyau ombeni sana Coventry atutoe nusu fainali au kama tukifika fainali basi tusibebe kombe, lakini kama tukibahatika kubeba kombe la FA halafu msimu ukiisha Arsenyege mkatoka mikono mitupu bila ya kombe lolote sijui mtaudanganya nini ulimwengu kua msimu huu Arteta na Arsenyau yake wamepata achievement kubwa kuliko Ten Hag kwa kufika robo fainali Uefa pamoja na kuingia top4 kwenye EPL.

Masingeli nina uhakika leo umeenjoy sana kumuona ndugu yako Masebene akitupia kamba dhidi ya Liverpuuuhhh huku akipiga yale mambo yake adimu ya Spin360.


# Arsenal iliumbwa kwa udogo na imerudi mavumbini jina la Bwana lihimidiwe

R.I.P Arsenyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…