USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
" Arsenal tactical Revolution"
Ukiangalia Namna Arsenal wanacheza mpira unaweza kusema Mpira ni jambo rahisi sana hapana ndugu yangu bali ni jambo Linalo hitaji utimamu kimbinu na Kiufundi bila kusahau uwezo mchezaji mmoja mmoja
Modern football Roles ( Majukumu ) yanachukua nafasi kubwa kuamua nani acheze nani atokee bench hivyo basi Sifa za mchezaji kiuchezaji ndio zinampa nafasi kucheza Mara kwa mara
Niingie Hoja Arsenal kwa sasa Ukizungumza moja kati team ambazo ni nzuri kimbinu uwezi kuacha kuwataja
Tactical Revolution Arsenal imeletwa na Vitu kadhaa Ambavyo kocha aliweza kuviweka kikosi chake
Playing ID ( Identity ) hapa kocha akihakikisha kwanza kuna utambulisho anacheza mpira wa aina gani, Kwa Arsenal tunajua ni posession based football
Baada kujua ID sasa kocha akaanza kusajili profile wachezaji inayoendana na Aina yake uchezaji yani wachezaji watakao Raise Level pia tactical and technical tweak
Alafu Mwisho aka apply sasa Tactical and technical terms mfano wa hivi vitu Arsenal jinsi ana fanya build up, Jinsi ana Fanya Overload, Jinsi anafanya Pressing , Kwa jinsi anafanya positional interchange Nk ni kwenye level kubwa kitu kimefanya team sasa kuweza kucompete na yeyote tactically
Leo tunazungumza Arsenal inayoweza kwenda Anfield na ikacheza mpira,Leo tunazungumza Arsenal inayoweza Kudominate game mbele elite club kama Man city Kitendo City kupiga on target 2 tu Match 2 za mwisho kacheza Arsenal nazani unanielewa
Ifike hatua hapa tulipo tuwape Maua yao bench la Ufundi
Amigos