Arsenal (The Gunners) | Special Thread

False hopers sina neno, hongera kwa kufika 1/4 after 14 years.
Sisi tunasubiri na tunajua mnatoka empty hands ni suala la muda tu. Tamba wewe kwa sasa.
Mkuu nimefuruahi sana kuona post yako humu. Nilianza kupata wasiwasi juu ya hali yako.

Pia nafurahi jinsi nyie mijusi milia mlivyokuja kuwa ngoma ya kijiji. Kila mtu anajipigia tu.
 
Arsenal fainal tunacheza

Porto wamejaa Latin America wengi sana ,wanacheza uhuni mwingi, undava undava halafu ni vijana

Jana zimechezwa faulo karibu 20 , ikabidi Arsenal twende nao hivo hivo ,

Tofauti Yao na inter Milan wanacheza low block lakin wazee ni wengi ,

For me tupewe Barca, BVB ,Psg au Madrid
 
Tupewe Barca

Ukishindwa kusamehe, lipiza kisasi. alisema Mshana Jr
 
Jana wakituchezea sisi faulo refa anakausha ila sisi tukivigusa tu refa anasema faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…