Hivi kabisa unakaa chini unaanza kumfananisha Gordon na Martinelli na Trossard🤣🤣...kwli maajabu hayaishi hapa duniani...Gordon hyu hyu tunayemuona akikimbiakimbia kule mbele
position si wanacheza mmoja , ungeniambia hichi na hichi kazidiwa maana kwa sasa sina nguvu ya kuongea nimekuachia wewe lakini hunionyeshi walichomzidi gordon nitafutie viwili tu.
Tuangalie Mpira kwanza , nguvu ya kuwafananisha mimi sina unayo wewe 1 place .
Tangu game ya Porto Jorginho ameanza sana na nilisema ni kwavile Arteta anajaribu kuona kama atatosha kwenye hizi timu za low block. Ikiwa pia ataona runs za wingers na 9.
So far imeleta matokeo mazuri ndiyo maana na leo kaweka kikosi hicho hicho. Jorginho siyo physical na pacey, Porto forwards na mids zina speed, we are forced tukipata mpira tusiudondoshe.
Daaahh mashabiki wa Chelsea mnajua kusimanga kwelikweli, wenzenu sisi hua tunatania ule utani wa utani lakini nyinyi utani wenu ni ule unaofanana na ukweli