Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Oya vp umesikia huko mudryk ametupia goli la kuchukulia mkopo bank, toa maoni yako?
 
Tatizo huangalii gemu yoyote ya Newcastle, Sisi tumekubali for this season tayari tumechoma ila tupo under process tutafika tu nchi ya ahadi.
Position anayocheza gordon pale Newcastle iangalie then useme martinelli/ trossard kamzidi nini assist / goals ? pamoja na team kuwa mbovu.
Najua kwasasa sina nguvu za kusema chochote maana upo katika maximum peak of false hopes, lazima niwe mpole tu kwa muda. Nitasema nini na unaongoza ligi kama season iliyopita tofauti tu last ulikua una points 8 saivi ni difference ya goals😆
 
Hivi kabisa unakaa chini unaanza kumfananisha Gordon na Martinelli na Trossard🤣🤣...kwli maajabu hayaishi hapa duniani...Gordon hyu hyu tunayemuona akikimbiakimbia kule mbele
 
Hyo timu hata ikae Miaka 5 mlicho achieve mwaka jana ku qualify UEFA ndo mwanzo na mwsho....hamtakaa mpate hyo nafasi tena mpk miaka 20 ipite...yaani in short mpk ww uwe Babu ndo hao jamaa utawana UEFA tena...pale hamna timu Bali ni wafanya vurugu...tofauti ya Nyukesto na Chelkenge ni ndogo sana ndo maana hata walivyokutana hakikueleweka kinachezwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…