Hawa ni watu au supercomputer...halafu mbona mna nongwa sana...yaani siku mbili tu tangu mmetoka pale juu mmekuwa wakali kwlikwli🤠🤠Aliyepewa asilimia ndogo na wanaojua mpira mashabiki wao ndio wanapiga kelele wameshaanza maandalizi ya ubingwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka una rekodi za watu 🤣🤣🤣🤣Mashabiki lialia ndio hawa kina verifaidi yuza
Subiri kesho mkifungasha virago vyenu Uefa ndio utajua kati ya Smith Rowe na hao kina verifaidi yuza mashabiki lialia ni kina naniView attachment 2931950
Uo u mwisho gani unauzungumzia kwa sasa si ndo huu wa msimu huu watu wanakula 5 -6 au ?Kwa Hizo hizo dharau zenu msimu ulioisha kwenye mechi 10 za mwisho za ligi mlipoteza mechi 6 kizembe tu.
Liverpool 2 - 2 Arsenal
Westham 2 - 2 Arsenal
Arsenal 3 - 3 Southampton
Mancity 4 - 1 Arsenal
Arsenal 0 - 3 Brighton
N.Forest 1 - 0 Arsenal
Unawania ubingwa na Mancity halafu kwenye mechi 10 za mwisho unapoteza points 12
Msimu uliopita supakompyuta ikasema Arsenal tutachukua ligi.Super computer View attachment 2932023
We unavyojua Leeds anacheza ligi gani?
Kwanza waambie kuwa BENFICA na PORTO kwa pamoja wanajua ladha ya kombe la UCL ila yeye ni anaingia kama underdog tu.Sio kama nakutisha hapana bali nakukumbusha tu huko Ureno kuna timu inafanana kila kitu na Arsenyo inaitwa Benfica, wiki iliyoisha hio Arsenyo ya Ureno imegongwa goli 5 - 0 na Fc porto, wenyewe Arsenyau hua mnaita kono la nyani
Ingawa Mufti ameshatangaza kua kesho waislamu tunaanza mfungo wa Ramadhani, ila kwa jinsi ninavyowajua mashabiki wa Arsenyau matusi yatakua mengi humu bila hata kuheshimu kua watu wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
Kwanza waambie kuwa BENFICA na PORTO kwa pamoja wanajua ladha ya kombe la UCL ila yeye ni anaingia kama underdog tu.
Hii supercomputer yenu ilitupa ubingwa last seasonSuper computer View attachment 2932023
Kwahiyo ndo ukaenda ku Google kabisa
Kawaambie hao super computer wako arsenal anachukua EPL na UEFASuper computer View attachment 2932023
Hii supercomputer yenu ilitupa ubingwa last season
False 9 anacheza King KaiMartinelli kumkosa ni pengo kubwa sana,athari za kumkosa tuliziona juzi dhidi ya brentford.Ninachokiona hapa Jesus acheze nafasi ya Marti ya winger kwa sababu ya kasi yake anaweza tusaidia then Trossad acheze false no 9.