Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Turudiane game ya FA au vp
 
Turudiane game ya FA au vp
Fresh tu...maana Press conference ya Klopp kabla ya mechi ya Ligi pale Emirates alisema kabisa kwny FA cup tumeshinda ila Arsenal alitu dominate...Sasa kama mchawi wenu alijuwa kwmba mlishinda kienyeji na mechi ya pili akapigwa Kabali ya mbao kashindwa kurusha hata ngumi moja ndo uje ww shabiki maandazi hmu ndani kutuvimbia🤠🤠...nyny ni wepesi sana...mkikabwa msipewe nafasi ya Counter huwa mnarukaruka tu uwanjani maana hamna mbinu mbadala
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kesho hio dhidi Fc Porto ndio wataelewa unaposema huna imani na timu yako unamaanisha nini, hawa wote wanaokubeza leo kesho watakuunga mkono tu wala usibishane nao leo humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho 3+...Pepe ajiandae... Brentford tulikuwa tunafanya mazoezi
 
Kesho 3+...Pepe ajiandae... Brentford tulikuwa tunafanya mazoezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kama nakutisha hapana bali nakukumbusha tu huko Ureno kuna timu inafanana kila kitu na Arsenyo inaitwa Benfica, wiki iliyoisha hio Arsenyo ya Ureno imegongwa goli 5 - 0 na Fc porto, wenyewe Arsenyau hua mnaita kono la nyani[emoji16][emoji16][emoji16]
Ingawa Mufti ameshatangaza kua kesho waislamu tunaanza mfungo wa Ramadhani, ila kwa jinsi ninavyowajua mashabiki wa Arsenyau matusi yatakua mengi humu bila hata kuheshimu kua watu wapo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msimu uliopita ilikua mechi dhidi ya Brentford tunapigwa au tunasuluhu kisha City anampiga liva.

Halafu tunaanza hesabu za City akipigwa na fulani na liva na fulani tunakua wa kwanza.

Sasa ishu yaja. Tumepona ule ugonjwa? Nipo dilemma, ile mechi nilisema tunahitaji 7 goals tukashinda 5. Zilikua dalili nzuri actually.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndugu yangu Castr na wewe mdogo mdogo naona unaanza kuingia kwenye mfumo wa kina Masingeli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kesho tunataka tuone kule kujiangushaangusha kwao kutawafukisha wapi...5 walizowapiga wenzao sisi kwetu limekuwa jambo la kawaida sana...kesho karibuni Imarate mje kuona soka safi na kono la nyani likipatikana
 
Eti kaiweka nyumbu katikati ili tusijue kua kaiweka
 
Kesho tunataka tuone kule kujiangushaangusha kwao kutawafukisha wapi...5 walizowapiga wenzao sisi kwetu limekuwa jambo la kawaida sana...kesho karibuni Imarate mje kuona soka safi na kono la nyani likipatikana
Porto siku anampiga mtu 5 kesho sisi tulimpiga mtu ngapi?
 
We unavyojua Leeds anacheza ligi gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…