Uchawi at highest levelSio 4 kwenye mechi 10 mna game 7 zote ngumu City, Spurs, Utd, Chelsea Villa, Brighton na Leeds.
Kwenye hizi mechi 7 mna kila dalili ya kupoteza mechi 3 na draw 1.
Arsenyo kuhusu makombe bado mtasubiri sana mpaka mfike phase 7.
Nawashangaa sana watu wanaotaja Aston Villa...kwa kipi hasa aisee🤠🤠🤠...mara kumi wangesema Newcastle maana wao wanakaba sana na kucheza Counter...Villa wao hawajui kupaki wao wanashambulia Sasa watu kama hao sisi ndo tunawapenda maana mashimo nyuma wanaacha ya kutoshaKuna mechi za kuhesabia ,mara kumi Luton nawahofia sio manjesta ambao hata pass 5 kwao mtihani, timu ambayo kila dakika wanakupa nafasi uwashambulie
Chelsea Hawa wanakuja Emirates
Mechi ngumu ni Etihad sababu tu labda wote tupo kwenye mbio za ubingwa, but ni mechi ambayo naenda nikiwa na confidence kubwa ,
Astonvilla anakuja Emirates
Luton anakuja kwetu piaKuna mechi za kuhesabia ,mara kumi Luton nawahofia sio manjesta ambao hata pass 5 kwao mtihani, timu ambayo kila dakika wanakupa nafasi uwashambulie
Chelsea Hawa wanakuja Emirates
Mechi ngumu ni Etihad sababu tu labda wote tupo kwenye mbio za ubingwa, but ni mechi ambayo naenda nikiwa na confidence kubwa ,
Astonvilla anakuja Emirates
Nawashangaa sana watu wanaotaja Aston Villa...kwa kipi hasa aisee...mara kumi wangesema Newcastle maana wao wanakaba sana na kucheza Counter...Villa wao hawajui kupaki wao wanashambulia Sasa watu kama hao sisi ndo tunawapenda maana mashimo nyuma wanaacha ya kutosha
Liverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.
Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.
Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Liverpool wamerudi kwenye Default Mode
Naona hii Insha yako imejaa maneno ngumu...Sasa wacha nikueleweshe Mr Liverpool... Tottenham anadundwa 2 pale kwao...Aston villa anakula kono la nyani🤠🤠...Manunu kwakuwa ni wajeuri 3 zitawatosha.... Brighton sio shida yetu....mechi ngumu ni Man City tu...na tukimuotea safari hii msahau ubingwa maana mentally itatu boost kwlikwli kwa hao wengine tutakaokutana nao kuwafanyia unyama...nyny jana mlibugi sana kutoa draw...mwsho wa msimu ile draw mtaikumbukaLiverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.
Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.
Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Halafu mnatuhesabia sisi tuna mechi ngumu nyny mnajitoa akili kwa kuweka hao United na Everton tu kuwa ndo wabishi...Aston villa mnaotutishia sisi na nyie waungwana si tunaona mnawafata kwao kabisa....na West Ham mkikaa vbaya mnaenda kwao mnaweza mkalambwa...kwnyi kikubwa tusihesabiane mechi...Kila mtu ashinde zake ikifika May tuone nani ananyanyua makwapa...ize tuLiverpool kabakiza game ngumu mbili (Technically moja) Game ya old trafford itakuwa ngumu sana maana nyumbu wako tayari kufia uwanjani kuliko kuruhusu Liverpool abebe ndoo awafikie idadi ya makombe ya ligi. Game ya Goodson park pia itakuwa ngumu sababu Everton hawapo tayari Liverpool abebe lakini Everton ni wabovu tu watachelewesha mahakama ila watapigwa.
Man city kabakiza game ngumu moja tu vs Arsenal zilizobaki zote ana uhakika wa kushinda asilimia 100.
Sasa nyie kenge mnaoshangilia ubingwa mpaka mmeanza maandalizi ya sherehe, Mna game ngumu vs Man city(Ambaye kwa vyovyote hawezi kubali kufungwa home and away na arsenali), Mna game ngumu vs Spurs ambao kwa vyovyote wapo tayari kufia uwanjani kuliko kuon mkibeba ndoo, Mna game ngumu vs Aston Villa ugumu wake sababu Unai anataka awa prove wrong, mna game ngumu vs manyumbu hawawezi kubali mbebe ndoo kirahisi, mna game ngumu vs chelsea (Though uwezo wa kushinda mnao), Mwisho mna game ngumu vs Everton ugumu wa game ya Everton na ile ya manyumbu ni kutokana na kuwa hizi game ndio za mwisho na huenda zikaamua kama Everton anabaki ligi kuu au vipi na Manyumbu wanamaliza top 4 au vipi. Kwa kifupi Mpaka sasa mwenye njia nzuri zaidi ya kubeba ndoo kutokana na ratiba ilivyobaki ni Mancity nyie kenge punguzeni mdomo ndio maana mnajinyonga.
View attachment 2931579
Totenham hujamtajaHalafu mnatuhesabia sisi tuna mechi ngumu nyny mnajitoa akili kwa kuweka hao United na Everton tu kuwa ndo wabishi...Aston villa mnaotutishia sisi na nyie waungwana si tunaona mnawafata kwao kabisa....na West Ham mkikaa vbaya mnaenda kwao mnaweza mkalambwa...kwnyi kikubwa tusihesabiane mechi...Kila mtu ashinde zake ikifika May tuone nani ananyanyua makwapa...ize tu
Wao wanaamini mechi zte za Nyumbani kwao wanashinda🤠🤠...halafu sisi za Nyumbani kwetu wanatupangia zipo tutadundwa...Hawa waungwana Hawa🤠🤠...natamani kwny hzi zilizobaki za kwetu na wao wangekuepo tucheze nao tena tuwatwange maana Wana mdomomdomo sana hawaTotenham hujamtaja
Wao wanaamini mechi zte za Nyumbani kwao wanashinda...halafu sisi za Nyumbani kwetu wanatupangia zipo tutadundwa...Hawa waungwana Hawa...natamani kwny hzi zilizobaki za kwetu na wao wangekuepo tucheze nao tena tuwatwange maana Wana mdomomdomo sana hawa
Referee wa mechi yetu against Porto kesho View attachment 2931801
Ww weka takwimu zte ila ndo hvyo sasahv ukifungua EPL table standing unakutana na tembo yupo juu pale🤠🤠Nyinyi hua inajulika kabisa na vivid examples zipo za kutosha.
Hizi hapa ni mechi zenu 10 za mwisho za ligi msimu ulioisha 2022/2023 ambapo mliongoza ligi kwa siku 258 halafu hizi mechi za mwisho zikawatoa kwenye reli. View attachment 2931776