Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Doak kacheza foul Kwenye box lakini refa kapeta ni wazi arsenali anaandaliwa ubingwa wa mezani lakini hamtofanikiwa.
 
Liverpool wamerudi kwenye Default Mode
Ushabiki mwingine wa kimaandazi. Kwamba mancity imekua westaham? Au Everton? Hamuangalii mpira au mnapigaga makelele tu huko vibanda umiza...Leo mabingwa wamecheza ulitegemea mmoja afungwe goli 5 au ndio ajulikane anajua mpira Sana..
 
Mabingwa huwa mechi zao za Nyumbani kubwa wanazitumia vzuri...Man U..Arsenal.an City zte una draw unategemea nn
 
Ushabiki mwingine wa kimaandazi. Kwamba mancity imekua westaham? Au Everton? Hamuangalii mpira au mnapigaga makelele tu huko vibanda umiza...Leo mabingwa wamecheza ulitegemea mmoja afungwe goli 5 au ndio ajulikane anajua mpira Sana..
Kunya boga..
 
Ina maana tembo ndio kagoma kushuka juu ya mti?
Hizi ni dharau sasa yaani tembo atakaa mtini kwa siku ishirini mpaka ifike tarehe 31march Mancity atakapokuja na chain saw.
Wivu sina ila kiukweli roho inauma, kina Masingeli na chawa zake watatutolea shombo humu mpaka hili jukwaa tutaliona chungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…