Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,782
- 22,103
10 minutes of added time playedWe will have 7 min. of added time.
Wanga walikuwa wanasubiri tutageAnother victory, 8 in a row. 10 games to go
Arsenal is on top of the LegueHow it stands?
Ameokoa mochomo ya hatari sana leoEndeleeni kumtetea Ramsdale
Leo tumekamatwa kijinga
Walikua wanasubiri tutoe droo wajazane humu.Wanga walikuwa wanasubiri tutage
Hadi pumz ilikatak kwa preshaDah kuna muda
Yaano tukidroo ni kama tumefungwaWalikua wanasubiri tutoe droo wajazane humu.
Timu ipo standards za juu sana, maana haturuhusiwi hata tutoe sare, achilia kufungwa!
Ukimsikiliza Arteta anavyomuongelea Raya namna anavyoleta utulivu pale nyuma ndo utaelewa kwnn leo walikuwa kama hawajatulia kidogo...Ramsdale huwa kama ana wenge hivi...na hii inapelekea kusababisha makosa na kwa wengine then tunafungwa...yule Aondoke aisee hatumtaki🤠🤠🤠...Ameokoa mochomo ya hatari sana leo