Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mchezo anaoufanya ETH aliwahi kuufanya Unai Emery pale Arsenal,anashinda lakini anapelekewa moto na kuwa dominated na mid table teams,

After match anasema "The boys gave everything, they played with their heart"

Watford anakupigia shots 31



Unai Emery aliwahi kwenda run ya mechi kama 20 hafungwi lakini hizo mechi Sasa ni kupelekewa moto sana ,full kuvizia anashinda ,na sare ,


Thus why imekuwa rahisi sana kuwaeleza manjesta mapema kabisa ETH ni tapeli ,wamefanana vile vile style play Yao .

Wazoefu wa Arsenal ya Unai Emery watakuwa wanakumbuka vzr sana

 
Ila Emery wa sasa naona kawa mkali. Unajua hatujamuacha nyuma sana kwa points?
 
Wale mashabiki wa Nyumbu na Chelsea mbona siwaoni kwa Kai saivi?
 
Nawaona nyumbu na Kenge wakipanga mabeki na viungo tu, ili kupunguza idadi ya magoli
View attachment 2925134
Arsenyo banaaa kama vile wapo serious kweli na Epl, ngoja zibakie mechi 4 ndio utajua kua walikua wanatania tu na kuwasindikiza wenzao kwenda kuchukua kombe

Nikikumbuka mwaka jana waliprint mpk shimizi za top on the table na wakashona vijora kabisa vya kusherehekea ubingwa
 
Kombe hamchukui. Hata mshinde 10 bila kila mechi
Jana mlikuja na msemo wa Friends of Sheffield United...leo mmeamka na hii🤠🤠...ww kama ni Manunu au Chelkenge ujiandae tuna jambo letu na hzo timu....hzi sita na Tano tumewapiga wale wanacheza pasi mbili tatu...Sasa nyny mnaovizia Counter attack ndo wazuri tuje kujipimia kwnu kwmba tutaishia kene goli 5 au tutaenda mbali zaidi na kukupigeni wiki kabisa
 
Arsenyo kama timu haijawahi kua serious na kombe ila mashabiki wa Arsenyo wao ndio wako serious kwelikweli na ubingwa
View attachment 2925199
Bahati mbaya sana tutakuja OT mechi za kufungia msimu...nilikuwa natamani mechi ijayo tunge test mitambo na nyny tuone Yale mafunzo ya Dubai kama tumeyakariri vzuri🤠🤠🤠
 
Bahati mbaya sana tutakuja OT mechi za kufungia msimu...nilikuwa natamani mechi ijayo tunge test mitambo na nyny tuone Yale mafunzo ya Dubai kama tumeyakariri vzuri
Nyie kuanzia wiki ijayo tu Fc Porto akiwatoa Uefa molari yote inashuka mnaanza kupoteana mazima kwenye Epl.
Nusura yenu labda mpate ngekewa tu ya kumfunga Porto.
 
Tuache Ze Ganaz tule raha. Tumetoka mbali sana. Nafasi ya 8 mara mbili bro unadhani mchezo? Mkitukuta bar tunapiga bia kwa hela zetu na hatubugdhi mtu, mtuache.

Nyie mnaelekea kuyapitia maisha tuliyoishi sisi kipindi kile. Msipojirekebisha, mtatuelewa tu.
 
One-way Arsenal traffic

Ushawahi kukaa foleni buguruni halafu yanaruhusiwa malori ya upande mmoja tu?😂
View attachment 2925262
Bro mimi nadhani watubadilishie kidogo ratiba. Arsenal iwe inacheza na Man City, Liverpool na Tottenham tu, hata mechi sita sita. Hao wengine waendelee wenyewe kwa wenyewe maana kuwalazimisha kukutana na sisi ni kututafutia lawama za makusudi. Tunachukiwa sana huko ulimwenguni na huku mitandaoni wakati siyo kosa letu. Sisi hatujui kufunga mtu chini ya tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…