Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kila dalili Arsenali ananunua mechi

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Nadhani tumezoea kuonewa na kupunjwa na PGMOL so tumeadopt scattergun approach. Sasa tunajaribu kufanga magoli mengi ili hata tukikataliwa machache au wapinzani wakibebwa na kutufunga (kumbuka Newcastle) bado tushinde mechi 😀😀😀
 
Kale kamezidi kuweka mguu Kila sehemu...kuna mechi ukishaona umetangulia migoli mingi kuna mipira ya hatari huingii hovyohovyo...kenyewe kanaenda tu...katakaa nje mwezi sasa
Yuko overcommitted. Ila najaribu kutokuwa na wasiwasi. Mechi ijayo atakuwepo. Mwache apumzike kidogo kwanza
 
Arsenal now have FIVE players with 10+ goal contributions in the Premier League this season, more than any other team.

Bukayo Saka (21) — 13G + 8A
Martin Ødegaard (12) — 6G + 6A
Declan Rice (10) — 5G + 5A
Gabriel Martinelli (10) — 6G + 4A
Kai Havertz (10) — 7G + 3A

COOKING.
 
Msimu jana tulifunga magoli 88. Tuliruhusu 43, GD tukamaliza na 45.

Msimu huu tumefunga 68. Tumerusu 23. GD yetu ni 45, na bado mechi 11 zimebaki.

Je tutavuka magoli 88 na kufunga na tutaboresha GD yetu iwe ya kutisha zaidi.? Dalili zinaonyesha itakuwa hivyo. Tungoje tuone.
 
Labyrinth 84 is just a bitter, angry and fvcked up ex.

Let him/ her go
 
Upo sahihi na haupo sahihi pia.

Wa kwanza kapoteza 2 wa pili kapoteza 3 wa tatu kapoteza 4 ila ukiangalia points ni tunahitaji wa juu wasuluhu tu then sisi tushinde.

Changamoto ya zile loss zetu ni kufanya mzigo wetu kua mgumu zaidi ila siyo kwamba all is lost
 
Dk ya 58 tuna goli 6.

Naamini muda uliobaki unatosha kuongeza magoli zaidi. Kama tuna chance ya kushinda nyingi lets just do that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…