IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,747
- 7,110
Hivi nyie kenge akiumia Declan na Saliba si mtatafutana humu? sasa subirini wavunjweSisi tunawa motivate tu kwa kuwapumulia mgongoni kwny mkuu🤠🤠...lile kombe la jana ndo la mwanzo na mwsho kwenu msimu huu...hayo mengine myasahau...bado Van Dijk ateguke...jana Gravenberch tumemuunga kwny list
Siku atakayoumia Rice na Saliba...basi Vilema Partey na Timber watacheza hata kama Wana magongo🤠🤠...habari ya 5+ipo palepale ndugu zetuHivi nyie kenge akiumia Declan na Saliba si mtatafutana humu? sasa subirini wavunjwe
Nyunyez mzee wa nafasi 50 anapata 2🤠🤠🤠....Salah ameshapigwa na degedege akirudi kutumia kupo palepale....mm naomba kale ka Jota kasirudi...kale ndo kiherehere....Hawa wengine hawasumbuiNunez na Salah wanarudi uwanjani this coming weekend.
Kwatikati ya mwezi wa March kuna wengine kama 4 wanarudi uwanjani.
So, shida ipo palepale.
Nunez ndiyo Andy Carrol wao wa sasa, au Adebayor. Angekuwa Arsenal angekuwa anashindana na Havertz kukosa magoliNyunyez mzee wa nafasi 50 anapata 2🤠🤠🤠....Salah ameshapigwa na degedege akirudi kutumia kupo palepale....mm naomba kale ka Jota kasirudi...kale ndo kiherehere....Hawa wengine hawasumbui
Halafu tunawakumbusha tu majirani mechi ijayo...kwny benchi tutakuwa na braza Thomas Partey...Gabriel Jesus...Fabio Vieira na Zinchenko wakisubiri kuingia dakika ya 60 huko kumalizia kilichoanzishwa tangu kipindi cha kwanza...tabu Iko palepale🤠🤠🤠Nunez ndiyo Andy Carrol wao wa sasa, au Adebayor. Angekuwa Arsenal angekuwa anashindana na Havertz kukosa magoli
Kwa lipi braza...kwni 5+hazipatikani....tutawapiga GD ya zaidi ya 10 Ili tukija kukaa pale juu msipate matumaini hata tukilingana kwa points....ni suala la muda tu🤠🤠Humu mnadanganyana sana
Acha maneno mengi. Sisi tunataka mechi na nyie. Twendeni FA tukaombe mechi tuoneshane uwanjani nani mbabe.Humu mnadanganyana sana
Hawataleta timu uwanjani.Halafu tunawakumbusha tu majirani mechi ijayo...kwny benchi tutakuwa na braza Thomas Partey...Gabriel Jesus...Fabio Vieira na Zinchenko wakisubiri kuingia dakika ya 60 huko kumalizia kilichoanzishwa tangu kipindi cha kwanza...tabu Iko palepale🤠🤠🤠
Toney haji Arsenal1. Watkins
2. Toney or
3. Osimhen to Arsenal next season?
I would go for Toney, he is a perfect match to our playing style
Watkins. Ila bila 100 na zaidi simuoni akija.1. Watkins
2. Toney or
3. Osimhen to Arsenal next season?
I would go for Toney, he is a perfect match to our playing style
🤣🤣🤣Binafsi sijawa kuishabikia Arsenyo hata kiuongo uongo tokea kuumbwa kwa dunia, fatilia comments za Labyrinth 84 miaka miwili nyuma utaona jamaa alikua ni arsenyau kindakindaki.Kuna kila dalili uyo na Flano ni mtu mmoja
🤣🤣🤣 GD haziwezi kuwasaidia kuchukua kombe Kima nyie, miaka yote hua mnahangaika na mambo madogo madogo yasiyoweza kuwasaidia kupata kombe lolote la maana, mwaka juzi mlikua mnatupigia kelele humu kuhusu clean sheets, halafu mwisho wa msimu Man United asie na clean sheet na Arsenyau mwenye clean shit nyingi wote tukaenda kucheza Europa.Nyumbu hawezi ona hi😀😂
View attachment 2916266
Angekuwa na hzo sifa hyo mbabaishaji unayejaribu kumpamba asingeangukia kushangilia kikundi cha wafanya Fujo aisee...ni muhuni tu asiyeelewa nn maana ya bolu....alikuja kuanza kutuletea vi data uchwara vyake vya kumfananisha Saka na Gordon sijui...mara Almiron na Martinelli...mara Bruno na viungo wetu wakatili....nikaona kwli hyu jamaa ni empty set🤣🤣🤣Binafsi sijawa kuishabikia Arsenyo hata kiuongo uongo tokea kuumbwa kwa dunia, fatilia comments za Labyrinth 84 miaka miwili nyuma utaona jamaa alikua ni arsenyau kindakindaki.
Kingine huyu jamaa Labyrinth 84 anajua sana kuchambua mpira na hua anatembea sana na facts ndio maana mpaka Masingeli kampiga marufuku kumquote maana kwa hoja na facts Masingeli hamuwezi, tofauti na mimi ambae kazi yangu kubwa hua ni kuleta porojo tu za kuwabeza na kuwakera Kima za humu😂😂😂