Ni kweli. Some people sound emotional kutokana na recent performance ya Kiwior. Hawakumbuki kama tulikua na Tomiyasu before Kiwior, na wote wakasema Kiwior hana nafasi tena.Tuwe na Akiba ya maneno mkuu.
Nasikia ni houseboy wa Nyumbani kwa Gordon huko NewcastleYule nyumbu wa nyukesto labirinth kapotelea wapi? Au ni Flano anabadili ID tu na kujiquote?
View attachment 2916003
Kuna kila dalili uyo na Flano ni mtu mmojaNasikia ni houseboy wa Nyumbani kwa Gordon huko Newcastle
Niombee nipate kazj NMB kuna nafasi wametangaza nimeombaJana niliwaombea yanga na ikashinda 4
Saliba labda umpumzishe mechi za Carabao ila siyo ligi.Saliba ataliwa anapumzika...tunamtumia sana...mbadala wa Saliba atakuwa kijana Timber🤠🤠🤠...
Ni kweli, useme yeye Mwenyewe Adebayo alikuwa anazingua 😜Tumshukuru sana Fabregas kwa kutokuchoka kumtengenezea jamaa nafasi 😃😄
Beki asiyefunga atamzingua kipa kwenye corner kicks kama Ben White 😁. Porto walimshtukia mapema wakamdhibiti haswa.Ni kweli, useme yeye Mwenyewe Adebayo alikuwa anazingua 😜
Miaka yote Arsenal imekuwa wazuri kutengeneza nafasi za Mabao ila Forward line zetu huwa haziwi serious
Ila now Arteta ametafuta Mwarobaini, unafungwa na Mawinga hadi Mabeki 🤗
Sawa mkuu nakuombeaNiombee nipate kazj NMB kuna nafasi wametangaza nimeomba
Sikupingi ila naona pancha zinazidi na umri unasogeaTuwe na Akiba ya maneno mkuu.
Umri upi unasogea kwa Timber? Ana miaka mingapi?Sikupingi ila naona pancha zinazidi na umri unasogea
Ana miaka 22 hatobaki na hiyo daima itasogea, kwa umri wake kuanza kukaa nje kwa miezi 7 mpaka 9 sio dalili nzuri, mfano Ansu fati.Umri upi unasogea kwa Timber? Ana miaka mingapi?
Tuko pamoja nawe brother, nita kuombea pia.Niombee nipate kazj NMB kuna nafasi wametangaza nimeomba
Hawa nao wanataka eplArsenali bhana
Sisi tunawa motivate tu kwa kuwapumulia mgongoni kwny mkuu🤠🤠...lile kombe la jana ndo la mwanzo na mwsho kwenu msimu huu...hayo mengine myasahau...bado Van Dijk ateguke...jana Gravenberch tumemuunga kwny list