Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tena huyo Saint Anne atahudumia kuku tu, itapendeza zaidi wakiwa ni majogoo.
 
Huyu binti ataharibu hiyo sherehe,

kwasasa hayupo sawa afya ya akili. hili nililigundua ile siku liverpunda anakuja gheto yeye anachekelea
 
Huyu binti ataharibu hiyo sherehe,

kwasasa hayupo sawa afya ya akili. hili nililigundua ile siku liverpunda anakuja gheto yeye anachekelea
Hahaha............aje hivyo hivyo tu, yaani nitafurahi akituhudumia Siku hiyo

Ana mdomo sana huyu
 
Mtu wa kwanza ametuacha points 2, tunalingana kwa magoli

Big matches tumebakisha moja tu, vs man city

Game zetu kwenye ligi, ukimuondoa Porto



Maji mtaita mma
 
Hahaha.........wasituonee wivu Hawa jamaa

Arsenal mechi hizi za karibuni tunafunga mabao mengi kama tumefungwa Busta miguuni 🤗
Halafu tunawakumbusha tu...No Partey...No Jesus...No Tomiyasu...No Vieira...No Timber...ila no problem🤠🤠... Zinchenko kuanzia leo ataliwa anagombea namba na Raya na Ramsdale...Timber wamuweke asirudi tena mpk msimu ujao....wapinzani wasije wakasema tuna gubu bure
 
Mkigongwa tena mnakimbilia kwenye Mapango

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Wenye tendency ya kufumuliwa mara nyingi wapo nafasi ya 10 sijui huko🤠🤠...hao ndo wale wazee wa Caicedo anakaba halafu Enzo anachezesha timu...wapinzani wamekwisha🤠🤠...tunawakumbusha tu yule tulomkosa kono la Sokwe jana yupo juu yenu kwny msimamo...Sasa mjipange tusije tukalaumiana majirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…