Masingeli akijifanya kuibuka na kuanza kucomments humu kabla game kuisha basi goli zote zitarudi na nyingine zitaongezeka.
Daaaahhh ila hawa Newcastle walianza ligi kwa mbwembwe sana sijui hata kitu gani kimewakuta, ukiachana na ile nafasi aliyoipoteza Almiron sijui hata kama wamepata attempt nyingine.
Dakika 45 attempt moja, On target 0 hawa sio nyukesto ninaowajua mimi.