Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ata wakitaka Howe ashike filimbi
Isak na Bruno washike vibendera

Wanakufa kuanzia chuma 3
kumbe ni chuma 3 tu sio kono la nyani?
Porto tuliambiwa atapigwa si chini ya goli 5 halafu baada ya game kuisha tukawa tunajiuliza hizo goli 5 bila ya shot on target hata moja zimeingiaje ingiaje mpaka leo bado hatuelewi.
 
wenzio wameshaanza kumlalamikia refa kabla hata ya game kuanza, Eddie Howe amesema leo Arsenyo akipata hata on target moja anajiuzulu ukocha, mechi ya leo ninachokiona Arsenyani anaenda kuongeza idadi ya majeruhi.
Wale wabeba vyuma wa Newcastle watawavunja viuno hawa watoto mayai Arsenyetoz

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Arsenyetoz ni plastic fans , wakila vipigo wanakimbia hiki kijiwe Chao , wakishinda mechi mbili tatu sasa , utasikia kila aina ya mbwembwe humu ,utadhani ni timu flani ya Galacticos

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Newcastle ameshatema bungo, Chuma 2 tayari
 
Hiki kikosi Cha leo, ilibidi ndio tuingie nacho game ya Porto
Trossad na Kai kwa pamoja, huku una odegard. Unatengeneza mazingira ya rice kuzidiwa nguvu

Either aanze Trossad au Kai. Sio wote kwa pamoja

Next game partey in the building
Kwaio dima itakua na Rice jorginho/partey odegard
 
Kuanzia chuma 3
Walimu walipata kazi Sana aisee
 
Newcastle ameshatema bungo, Chuma 2 tayari
Masingeli akijifanya kuibuka na kuanza kucomments humu kabla game kuisha basi goli zote zitarudi na nyingine zitaongezeka.
Daaaahhh ila hawa Newcastle walianza ligi kwa mbwembwe sana sijui hata kitu gani kimewakuta, ukiachana na ile nafasi aliyoipoteza Almiron sijui hata kama wamepata attempt nyingine.
Dakika 45 attempt moja, On target 0 hawa sio nyukesto ninaowajua mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…