[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo kubeba Uefa labda baada ya vita kuu ya 3 ya dunia.Kinachonoudhi hapa ni liverpool nimeshuhudia wakibeba mara 2, manyumbu nimewashuhudia mara mbili, chelkenge nao na mancity makombe yote yao ni ya kizazi hiki hiki. Kwa hiyo hamu ya kuona arsenali inanyanyua hii kitu kabla ya kupata wajukuu ni kubwa.
Arteta mmepata kocha kiukweli[emoji3][emoji3][emoji3] Haujakosea mkuu. Unaona kabisa tuko katika 'kutesa kwa zamu na hii ni zamu yetu' mode. Miaka ya nyuma tulikuwa wanyonge sana na tuliteswa sana na maneno ya wengine. Ila sasa tumeanza kuona ka nuru kidogo, nasie tunawakera wenzetu. [emoji16][emoji16]
mi naona bora tutolewe ili tufokasi na ipielo.Watoto wadogo wale...
Nikimbie wakati nilikuwa bize kuangalia namna Baba Ubaya anavyocheza pira makande🤣🤣🤣...Sasa pigeni kambi hmu leo saa Tano usiku tuna jambo letu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo kubeba Uefa labda baada ya vita kuu ya 3 ya dunia.
Kwanza leo Newcastle tunajambo letu hapohapo maghetoni kwenu, kina Gordon, Joelinton, Almiron na Guimaraes wana hasira sana na nyinyi baada kuwagongo goli moja nyumbani kwao halafu mkasingizia kua refa amewabeba.
Arsenyau wanacheza leo halafu jukwaa lao limepoa kama vile wafiwa wapo kwenye maombolezo ya mpendwa wao.
Ukiona Arsenyo inacheza halafu kina Masingeli na chawa zake mkorea na arsenal2004 wamelikimbia jukwaa ujue tayari wameshanusa harafu ya kipigo cha mbwa koko hivyo usijisumbue kwenda kibanda umiza bora uchungulie tu matokea kwenye live score[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2914781
Yani nyie ndo mnamtegemea Newcastle atuzuie?ALL THE BEST NEWCASTLE UNITED
Sio kweli, maybe hapo ulipo hakuna 5GVoda wana vifurushi bei ila wana network slow vibaya mno.
Na nina 5G
Nakua maeneo hayaSio kweli, maybe hapo ulipo hakuna 5G
Game ya leo WATAPIGWA TU ata refa awe isak,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo kubeba Uefa labda baada ya vita kuu ya 3 ya dunia.
Kwanza leo Newcastle tunajambo letu hapohapo maghetoni kwenu, kina Gordon, Joelinton, Almiron na Guimaraes wana hasira sana na nyinyi baada kuwagongo goli moja nyumbani kwao halafu mkasingizia kua refa amewabeba.
Arsenyau wanacheza leo halafu jukwaa lao limepoa kama vile wafiwa wapo kwenye maombolezo ya mpendwa wao.
Ukiona Arsenyo inacheza halafu kina Masingeli na chawa zake mkorea na arsenal2004 wamelikimbia jukwaa ujue tayari wameshanusa harafu ya kipigo cha mbwa koko hivyo usijisumbue kwenda kibanda umiza bora uchungulie tu matokea kwenye live score[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2914781
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nilichogundua Masingeli ni plastic fan wa Arsenyau, anaonekana humu timu inapofanya vizuri tu, yaani jamaa ni kama vile anawadangia[emoji23][emoji23][emoji23]Nikimbie wakati nilikuwa bize kuangalia namna Baba Ubaya anavyocheza pira makande[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Sasa pigeni kambi hmu leo saa Tano usiku tuna jambo letu
Mpo vizuri watani zetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nilichogundua Masingeli ni plastic fan wa Arsenyau, anaonekana humu timu inapofanya vizuri tu, yaani jamaa ni kama vile anawadangia[emoji23][emoji23][emoji23]
Akiona pochi limejaa hakauki humu ila akianza kusikia vi coins vinagongana mfukoni anakula zake kona anashinda kwenye jukwaa la mapishi au jukwaa la urembo. View attachment 2915239
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzio wameshaanza kumlalamikia refa kabla hata ya game kuanza, Eddie Howe amesema leo Arsenyo akipata hata on target moja anajiuzulu ukocha, mechi ya leo ninachokiona Arsenyani anaenda kuongeza idadi ya majeruhi.Game ya leo WATAPIGWA TU ata refa awe isak,
3+
Sasa hivi Man Utd kufungwa wala sio habari, ila akifungwa bila On target hata moja hio lazima iwe ni breaking news.Mpo vizuri watani zetuView attachment 2915240
Ata wakitaka Howe ashike filimbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzio wameshaanza kumlalamikia refa kabla hata ya game kuanza, Eddie Howe amesema leo Arsenyo akipata hata on target moja anajiuzulu ukocha, mechi ya leo ninachokiona Arsenyani anaenda kuongeza idadi ya majeruhi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ni chuma 3 tu sio kono la nyani?Ata wakitaka Howe ashike filimbi
Isak na Bruno washike vibendera
Wanakufa kuanzia chuma 3