Nyie kondoo nawakumbusha mpk half tym hamna hata on target moja, na hao ni porto tu. Hapo hamjaletewa Madrid mlokua mnawataka.
MAsingeli aachage kuwadanganya kuwa mtaweza kumfunga madrid, mwombeni mungu awaepusheni nao msije mkatutia aibu mkafungwa magoli y basketi.