Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika kitu chochote chenye shabiki yoyote wa Wenger orphans mliopo hapa toka mzaliwe amna record ya kutufunga goal hata zaidi ya tatu nyie ni moja ya vibonde wetu ambao hata tuwe tumechoka kiasi gani lazima mje muache point pale OT.

shabiki wa asenyani yoyote mwenye ana matokeo ya asenyani kutufunga hata goal 4 toka EPL ianze aje DM kuchukua elfu 10

Poor Wenger orphans.
 
Positional play ni zile movement za Kai, ode na Trossad

Overlap ni movement za white kwa saka

Overload ni pale white anapoingia midfield


Porto akipigwa chini ya tatu, niulizwe mimiView attachment 2910943
Wenzetu hawapendi haya maneno. Mara Overlap mara sijui overload na positional play. Wao kwao hawana haya mambo ni kama lugha ngeni kwao. Sasa watakuja humu na povu kali...
 
Team ambayo imefika champions league final mara moja inatamba kumpiga bingwa wa kihistoria zaidi ya mara 12 ,hii unaongelea movie sio champions league night , MADRID kwenye Uefa ni dude la kutisha ,ni wanaume kwelikweli
Kwani tukiwafunga itakuwa mara ya kwanza??
 
Leo porto tunamtegua Saka na Rice alafu tuone
kama mtaleta tena Jeuri
 
jorginho kwa uzoefu alionao.. sidhani kama arteta ataenda bila yeye kwenye XI yake leo.

jamaa ni mchezaji wa mechi kubwa na zenye presha.. anasaidia sna kuwatuliza wenzake na kuwapa maelkezo muhimu.
 
Porto wanatupress kwa nguvu tukiwa kwetu expecting tutafanya errors.

Timu inahitajia kua composed na kuscore ili kuwafanya waache hii tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…