Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal fans
Midfield ipi unatamani kuiona kesho vs Porto

A- Vieira-Rice-Ødegaard
B-Rice-Jorginho-Ødegaard
C-Rice-Partey-Ødrgaard
D-Trossard-Rice-Ødegaard
E-Kai-Rice-Ødegaard
 

E....hawa wengine wasubiri
 
Jürgen Klopp anasema alishangazwa na Arsenal kumtoa kwa mkopo Albert Sambi Lokonga:

[emoji2788] “[Albert Sambi] Lokonga unapomwona akicheza na unafikiri, oh - Ni mchezaji wa Arsenal na walimtoa kwa mkopo? Inavutia.”

[emoji327] [kupitia @HaytersTV].
 
Huyo akili zake anazijua mwenyewe,anaweza kumuumiza saka au huyo aliyemtaja kwa lengo la kuiharibu timu.

Asenali ya sasa kuna wachezaji wakipata majeraha ya muda mrefu shughuli ya kupambania walau kombe lolote inakufa rasmi au asenali inakikosi kipana?
 
Baba ubaya ameamua mpira awaachie wenyewe. Yeye point 3 tu azipate.
 
It takes too long to unlock Fabio's potential
Jamaa silaha kali sana kwenye counter. Tupipwe kona, Raya adake amrushie Vieira huku Martinelli au Saka wametoka ndukiii. Mpinzani ahesabu maumivu. Assists zake kwa Martinelli game ya Villa last season na Jesus game ya Manyumbu this season ni ishara kuwa jamaa ana vision kali sana.
 
Apate uzoefu na confidence. EPL siyo lelemama.
 
Wakati anachukuliwa kuja Arsenal Arteta aliambiwa hapa unamnunua Vieira na AM ndani yake.

Alishindwa kustep up game na man u akashindwa kabisa kucover mid. Nafikiri strength yake ingekua inakuzwa angecheza na Partey au Rice
 
He is very intelligent on top of that
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…