Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
United walikuwa na bahati, Luton had a bad dayNotice kwamba Arsenal hawazii kushinda mechi moja.
Unawaza utokwe jasho ili umfunge Luton Arsenal anawaza anapataje CL na ligi.
Kama hauna stori zaidi ya kutuonyesha timu yako iko hovyo kaa kimya ujifunze
Arsenal fans sio binadam kama sisi.Humu wamejaa comedian's watupu, ukiwa na stress zako halafu ukaingia humu utaishia kutabasamu kama sio kucheka kabisa halafu unajikuta umesahau shida zako kwa muda.
Uzuri Mungu hua hakunyimi vyote, akikunyima makombe basi anakupa mdomo
Ben White nae kuna kipindi aliweka ule upuuzi kichwani performance ikashukaMmegundua haya yote yamekuja baada ya Saka kuacha ule utumbo wa nywele?
Mtaamini ninachosema kila siku?
Hawa plastic fans na kijiwe Chao hiki ni zaidi ya futuhiHumu wamejaa comedian's watupu, ukiwa na stress zako halafu ukaingia humu utaishia kutabasamu kama sio kucheka kabisa halafu unajikuta umesahau shida zako kwa muda.
Uzuri Mungu hua hakunyimi vyote, akikunyima makombe basi anakupa mdomo
The ironyBila kombe, humu mnajadili takataka tu.
Chelsea atajipanga na kurud kuchukua ligi na UEFA nyie bado mko hivo hivo
Sio mimi ni historia inasema👆
Sema nyie arsenal fans ni viumbe wa tofauti na sisi binadamu😅😅😅
Nikitaka kutoa stress lzm nije hili jukwaa la comedy
Bournemouth wagumu.Ninyi asenyetoz mnadhani UEFA ni kama kucheza na Bounermoth au sio ?
Mtapigwa na kuchakaa mpaka hamtaamini
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Jumatano tunawakaribisha kwny jambo letu pale nchini Ureno....tunaenda kutoa shule ya soka kwa kina Pepe na wenzie 🤠🤠🤠...karibuni sanaNinyi asenyetoz mnadhani UEFA ni kama kucheza na Bounermoth au sio ?
Mtapigwa na kuchakaa mpaka hamtaamini
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Huyo dogo shida yake ilikuwa hayupo tough, na kujiposition wakati wa kudefend.Uongozi usije ukamuuza Sambi Lokonga, dogo ana potential kubwa.
Nilichogundua Sambi sio mkabaji mzuri ila anachezesha timu vizuri, press resistant, passer na ball carrier mzuri. Angepata nafasi ya kucheza pivot na Rice kama ilivyokua kwa Jorginho, things would have worked out.
Pia ni versatile, mana hata pre season ya msimu ulioisha tuliona akiwa anatokea pembeni na alikua akifunga.
Next season abaki kuongeza squad depth.
Ilikua haina haja kumtetea.Nimefurahi ameanza kupata heshima anayo stahili, jamaa n mwamba kwelikweli tumemtetea sana humu
Hiki kibabu cha miaka 40 kimeanza kutupiga mkwara kabisa🤠🤠🤠....wacha tuone watakavyochezaØdegaard knows me too well at Real Madrid,He knows I don’t joke with champions league game’: Porto captain Pepe reveals the only ONE thing that He will do to silence Arsenal Trio (Saka, Martinelli and Trossard) on Wednesday
Sasa huu mdomo ndio anaiponza Porto. Kesho sio mbali
Pepe angejua kiwango chake kilivyo kwa sasa, asingeongea namna hii. Hana tofauti na Ramos, wote viwango vipo chini.Ødegaard knows me too well at Real Madrid,He knows I don’t joke with champions league game’: Porto captain Pepe reveals the only ONE thing that He will do to silence Arsenal Trio (Saka, Martinelli and Trossard) on Wednesday
Sasa huu mdomo ndio anaiponza Porto. Kesho sio mbali
Hivi sisi mind games siku hizi zinatusumbua?Ødegaard knows me too well at Real Madrid,He knows I don’t joke with champions league game’: Porto captain Pepe reveals the only ONE thing that He will do to silence Arsenal Trio (Saka, Martinelli and Trossard) on Wednesday
Sasa huu mdomo ndio anaiponza Porto. Kesho sio mbali