Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kiwior kuna timu kadhaa Italia na hispania wanamtaka sana
Wahesabu maumivu....kipindi cha kumuuza kilikuwa January...kama umepita huo mda wasahau...nachoona sasahv timu inqyojengwa kule nyuma wanakaa watu wte futi 6 kwnda juu na wenye physique hasa....Sasa kumuuza ni ngumu...Zinchenko ana kazi ya kufanya akirudi...the guy is too soft linapokuja suala la ku defend
 
Kiwior kuna timu kadhaa Italia na hispania wanamtaka sana
Raha ya Kiwior hakuna aliyejua tunamtaka. Kabla Boehly hajavamia mtu keshatinga jezi ya Ze Gunners.

Naomba tuendelee kuwa na signings za namna hii ambazo hakuna anayejua halafu zilete matunda. Kama ilivyokuwa kwa Tomiyasu.
 
Exactly.

Michuano ya muda mfupi bahati ina mkono wake
 
Porto huko walipo wanajiuliza watawazuia vipi saka, martianeli, Kai na odegard?

Na kinachowaumiza zaidi watatoboa vipi ukuta wa arsenal?
View attachment 2908062

Imedhaminiwa na umoja wa Nyumbu na Kenge
Sema njia ya sir GOD ni ya ajabu, mudryk njia ilikua nyeupe kuja arsenal.
πŸ‘‰Sasa hivi trosard ana heshima kubwa Sana.
 
Sema njia ya sir GOD ni ya ajabu, mudryk njia ilikua nyeupe kuja arsenal.
Sasa hivi trosard ana heshima kubwa Sana.
Mudryk ni mchezaji mzuri Sana, tatizo yupo wrong place. Kitu ambacho Kenge hawawezi kukubali

Mudryk anatamani muda urudi nyuma afanye maamuzi na upya
Ilikua simple tu, hamniuzi kwenda arsenal Basi nitaondoka as free agent

Pale ukengeni Kuna wachezaji wengi watu wataenda kujibeba kwa Bei ya boss kalewa
 
Binafsi namkubali zaidi trosard, Ni zaidi ya striker.(false 9).
πŸ‘‰Goli ana lijua, hata style ya magoli yake ni nzuri.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kwa hiyo tano ndo standard yetu kwa sasa? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Binafsi namkubali zaidi trosard, Ni zaidi ya striker.(false 9).
Goli ana lijua, hata style ya magoli yake ni nzuri.
Yes napenda Sana akicheza false 9, ata hamis77 ameliona hili utulivu wake

Ila winger ya kukimbiza, beki zisipande au ukipigwa counter attack Hadi dakika hii tunae martinel.
Hapo ilibidi tumpate mudryk Kama sub ya martinel
 
Kweli apendaye chongo huita kengeza
 
Hii sasa ndio ile kwenye bible inaitwa kula kwa jasho wakati ndugu zetu Asenyo wenyewe ikitimia miezi 9 ya ligi huwa wanazaa kwa uchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…