Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakubali kuwa Odegaard anaangushwa na quality ya umaliziaji wetu. Ile mechi ya liverpool angefunga Kai badala ya Saka kwa umaliziaji mzuri ingependeza mno. Odegaard anatakiwa kuwa na assists nyingi tu sema watu hawafungi
 
Kuna wale wanaojiita mshabiki wa Arsenal ambao timu ikifungwa au kutoa sare wanakuja na maneno kibao ila sasa mechi ya tano mfululizo timu inashinda tena kwa goli nyingi wako kimyaa hawaonekani. Mnafiki ishi nae kinafiki.
 
Mi wakati naandika ilikua siyo kushindana ilikua ni kuonyesha wapi strength ya Kelvin ilipo.

Strength ya mchezaji hua inapimwa na consistency pia. Hichi anachofanya huyu mtu anaweza akakifululiza msimu mzima?

Notice kwamba Kelvin kashakua mtoa assist bora na hata asipokua wa kwanza atakua wa pili. Odegaard atafikia pale? Ana dalili ya kupafikia?

Simply ni hiyo consistency. Consistency ndiyo inampa mchezaji confidence ya kufanya kitu kiasi shabiki tunasema ameopt "easy pass" lakini hiyo "easy pass" utakuta katumia miaka hata 10 kuimaster.
 
Hii marathon ya ubingwa ni ya mtu che,

After 5 games Kuna uwezekano, klop akatema bungo,

Pep msimu huu yupo vibaya mno msimu huu, tatizo lake ni mbishi sana.

Kuna uwezekano mkubwa nyumbu wakitupigia makofi. Yani mchezo miwili kabla ya kumaliza ligi NDOO itakua imetua Emirates
 
Tuwashukuru kwa lipi...Kila mtu apambane na matatizo yake...hamjatusaidia...mmejisaidia wenyewe...tukikutana na nyie kono la nyani lipo palepale...msijidanganye na matokeo ya jana
Poa , tutakutana tu
Uzuri tuna ninyi false hopers kwenye ligi na FA pia
Tutawanyoosha na kuwafunza adabu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Naona hivo kabisa
6 na 5 zinawadamganya. Wewe umelewa
 
Kwenye back line pia uwepo wa
kiwior umefanya tuwe imara zaidi.
Hebu fikiria
Zinchenko angekuwepo nadhan FOFANA angeambulia goli. uw
ila Trossard kuna kitu anafanya akiwa false 9 kuliko akiwepo Jesus

Front three ya Nelli Trossard Saka imekuwa ina ushirikiano mzuri sana kuliko akiwepo Jesus ,au mm ndio naona vibaya


Jesus ana bahati sana mechi za UCL ,Toka hata akiwa City
 
Pep anaringa kwa sababu KDB amerejea kikosini na anakiwasha
 
Ili iwe hivyo timu inabidi ichague kufocus na ligi au cl.

Hatuna kikosi cha kufocus kote kuwili
 
Ili iwe hivyo timu inabidi ichague kufocus na ligi au cl.

Hatuna kikosi cha kufocus kote kuwili
Mkuu uefa ni michezo ya mkakati na bahati pia. Tukulie uefa kwa Porto tuna mkanda 5, hii ndio standard yetu kwa Sasa
Kwaio wakija home hatutawekeza nguvu kubwa, Hadi robo huko
Robo tubahatike kukutana na city, Madrid, Bayern au Barca ili kazi iwe nyepesi
Nusu final then Final yenyewe.
Ni kuweka mikakati sawa tu, huku upande wa uefa

Ligi ni marathon, huku ndio kazi ipo

Uefa tuwekeze nguvu 40%, tunaanza na Porto. Hii tumeshafudhu hapa

Ligi tuweke nguvu 60%
 
Porto wanawatoa amini maneno yangu.
 
Na wote humu hatukuwa na amani kwa sababu hatujaleta vyuma vipya January. So far so good lakini. Tuone kama tutamaliza vizuri hivi

Matatizo yetu uwa yanajitokeza March- April, if we survive that period (pasiwepo na majeruhi au red card) tutapambana
 

Kiwior kuna timu kadhaa Italia na hispania wanamtaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…