Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimemshtukia pia Ben White kwenye corner kicks zetu hana kazi ya kugombania mipira ya kichwa. Yeye kazi yake ni kumghasi kipa wa timu pinzani na kumblock kijanja ili asitoke kudaka mipira ya juu bila kumfoul. Sometimes inafeli ila inatusaidia kufunga pale trick hii inspokubali.
 
Mikel Arteta kuhusu Kai Havertz:

“Nampenda. Nadhani sote tunampenda huyu mchezaji, , kila kitu anacholeta kwenye timu. Kulikuwa na dakika 2-3 juzi kwenye goli la 4, 5, 6-0 - Jinsi anavyofuatilia watu, jinsi anavyolinda boksi, jinsi anavyoshambulia boksi, nafasi ya kuwa tishio mara kwa mara kwenye sanduku la wapinzani na ndivyo ilivyo. Napenda sana.

"Unamuomba acheze kama 9, kama kiungo mkabaji wa kulia, kama kiungo mshambuliaji wa kushoto, kwenye safu ya ulinzi na anafanya hivyo.

Ni furaha tu kufanya kazi naye."
 
Ni kazi ya Carlos Cuesta
 
Mikel Arteta says Fábio Vieira has a chance of making the FC Porto game in the UEFA Champions League.
 
Mikel Arteta says Fábio Vieira has a chance of making the FC Porto game in the UEFA Champions League.
 
At London Colney. Arteta on team news:

"I’m positive that we’re going to get a few back for tomorrow."
 
Ni kazi ya Carlos Cuesta
Halafu je ni mimi au siku hizi kwenye kuzuia magoli ya setpieces hatuko vizuri sana? Kuna wakati tulikuwa tuko vuzuri halafu tukaotewa, ikawa mwendo wa kufungwa kwa setpieces kwa kwenda mbele.
 
Oleksandr Zinchenko
Takehiro Tomiyasu
Emile Smith Rowe
Fabio Vieira
Gabriel Jesus

Mikel Arteta is “positive” he will see some of Arsenal’s injured players return to face Burnley.

Thomas Partey, who has not featured since October, “is progressing really well".
 
Zinchenko, Samurai Tomiyasu na ESR wanatosha kurudi kwa kesho....Jesus na Vieira hatuwataki kwa kesho...wasubiri j4 na Porto....habari za kupachikwa majina mabaya kama waonezi au makatili hatutaki
 
Mikel Arteta kuhusu kama Arsenal wanapaswa kuwa kwenye mazungumzo ya kumsajili Mbappe:

“Hasa. Kwa nini isiwe hivyo?

Ikiwa tunataka kuwa timu bora, tutahitaji vipaji bora na wachezaji bora, hiyo ni hakika.

“Sipo [katika mazungumzo hayo]! Labda Edu na wamiliki , lakini siko kwenye mazungumzo hayo hadi hatua ya mwisho.

[@SamJDean]
 
Zinchenko, Samurai Tomiyasu na ESR wanatosha kurudi kwa kesho....Jesus na Vieira hatuwataki kwa kesho...wasubiri j4 na Porto....habari za kupachikwa majina mabaya kama waonezi au makatili hatutaki
 
Mikel Arteta kuhusu Raya:

"Ninachopenda kuhusu David ni kile anachofanya golini- vile ambavyo anazuia, hata huoni kwa sababu havifanyiki, kwa sababu amevitarajia."

“Ni wazi alikuwa na mazingira ambayo yalikuwa na changamoto nyingi, lakini ndivyo ninavyompenda. Wachezaji wenye ujasiri na tabia na haiba.

Wakati hata iko hivi, wanataka kuwa wao wenyewe na wanajisukuma kufanya hivyo. Amepata haki ya kuheshimiwa na nina furaha sana kwamba ameshinda.”

“[Kuzuia mambo tusiyoyaona?] Tazama mchezo tena. Sitakuambia."
 
Raya aendelee kukaa golini mpaka msimu itakapoisha. Kiukweli namkubali sana.

Kelele za Ramsdale na mashabiki wake sasa zimeshatulia kwa kuwa tunapata results, tukiboronga utasikia tena makosa wanamsukumia Raya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…