Hahahahaha! punguza umbea na ww mkulima...kesho zamu yako kusasambuliwa......! hahahahaha! khekheeeeeee!
kaingia maruhani samakiHakuna game rahisi tunaweza kuapata huko mbeleni kama hii.
Bado Wenger anasubiri kuleta mchezaji mwingine wa mwisho.
nilisema hivi:
Another rollercoaster day to be on Arse8l fan,
kaingia maruhani samaki
Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa
wapi kware?
Mkuu mbona jina langu umeliwekea rangi nyekundu?
kuwapiga wale vibonde Swansea kwa Taabu.......then ka draw ka bahati nasibu kule Ujerumani kuanzia AW, Msaidizi wake, Mimi na wengineo kibao tukajua yap gari limewaka kumbe bado lina miss bwena..... Ngoja nione AW atakuja na story gani......... So far hakuna spirit ya Ushindi.......Ni majonzi everywhere......
Huu mpira hauishi? Arse8 wanapata 3 kupitia samaki
kaingia maruhani samaki
Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa
wapi kware?
kaingia maruhani samaki
Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa
wapi kware?