Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madrid nawapenda. Ndiyo timu yangu kuu ya Spain. Pia tuna sababu ya kuwa na hofu nao. Naamini wanaweza kutufunga kirahisi tu.
 
Next ballon DO hiyo
 
Uchambuzi na picha juu, ninacho sikitika nibiuwa nyumbu na Kenge wamaweza wasielewe hapa unamaanisha nini
 
Hivi Mudryk atakuwa akiangalia Arsenal anawaza nini? Timu yake ina mastar kibao lakini bado hawajafika juu. Sisi hatuna Timber, hatuna Tomiyasu, hatuna Partey na sometimes hatuna Jesus lakini tunapambana. Hatakuwa anatamani kuwa kwetu kweli?
 
Hawezi kutamani kuja Arse8 kuungana na kina Peter Check, Luiz, Jorgnho, Kai. kuzindikiza wanaume kubeba EPL kila msimu?

Giroud ameondoka hapo kabeba kumbe kubwa UCL Europa kwa wanaume wa London.

Mudyk yuko mahali salama kimakombe, THE BLUES kwa sasa inapita kwenye uwanja wa mbigiri soon tutarudi kwenye makali yetu ya makombe.
 
Giroud alifanya vizuri. Mchezaji mmoja underrated sana. Haya tuone kama Muddy atafika huko walikofika hao wengine. Sisi pia tulipotea ila tumeanza kurudi katika ushindani. Muddy angekuja huenda angeshabeba kombe.
 
Hahahaha
kubeba hayo makombe ya kindergarten Carabao na Community shield.

Liverpool kwenye ubora wao chini ya Klopp wamebeba EPL 1, Aser8 bado hamjafika 70% ya ule ubora wa Liver wakati wanabeba EPL achilia mbali ubora wa city

Kitakachotokea baada ya msimu huu ni Aser8 kuanza kudrop performance baada ya kutumia nguvu kubwa msimu uliopita na huu kupambana kubeba EPL na kutoka mikono tupu.

Msimu ujao sioni mkiendelea kupandisha performance zaidi ya hapa kufikia level za kubeba ubingwa.
 
Mkuu hii comment yako haukuitendea haki hata kidogo, hii comment ilitakiwa iambatanishwe na hizi picha za kuwakata maini hawa Pussy cat wa London.
 
Kai Havertz builds a perfect footballer from players he's played with:

Left Foot- Odegaard
Right foot- Gabriel Jesus
Speed- Martinelli
Strength- N'golo Kante
Skill- Joao Felix
Football IQ- Jorginho

[GOAL Tik Tok]
 
Ni bora Alonso aende Liverpool kuliko Chelsea, Chelsea kikosi wanacho, na pesa, na kocha mzuri atakuwepo, ni mwezi mmoja tu akiichukua timu gari linawaka. Afu mbaya ni mshikaji wake Mikel Arteta tangu utotoni. Ila sisi tutapambana sababu Arteta ni jeshi.
 
Juzi Madrid kapelekewa moto ,shukran ziende Kwa Lunin angekuwa Kepa wangepigwa hata 3

Bayern Munich wamepata on target 1 sijui hawajapata kabisa vs Lazio

Niliwahi kusema humu UCL timu nyingi zile giants ni zimeshuka

Madrid namuomba usiku na mchana,

Timu ambayo itatuumiza kichwa ni Mancity maana mbinu ni nyingi , Wachambuzi wanasema Arsenal ni Moja ya timu chache sana zinazoweza kumtoa city kule UCL akifuatiwa na Inter Milan

Binafsi naomba Mancity atolewe wakimshindwa turapambana nae wenyewe

Na wasiwasi Madrid au Bayern kuna mmoja hatafika nusu final,viwango vyao Kwa UCL haviridhishi ,nilisema toka mwanzo mwa msimu

Kwa kiwango Cha Madrid ile na leipzig angekutana na Arsenal Hii au Mancity wangempiga si chini ya goli 3.

Habari njema ,mechi 15 za mwisho tutakuwa na full squad ,

Habari njema nyingine

Iwapo Chelsea atasonga mbele kwenye FA cup vs Leeds ,basi mechi ya Arsenal vs Chelsea itasogezwa mbele ,hivo kuanzia tarehe 12 had 30-31 ,Arsenal hatutakuwa na mechi yoyote ,hii ni likizo nzuri kama ile ya Dubai , hizo ni wiki mbili kabisa ,kumbuka hapo injuries zitakuwa zimerejea

Partey anayetarajiwa week ijayo vs Porto
Vieira atakuwepo vs Porto
Timber atakuwepo vs Porto 2nd leg
Tomiyasu amesharejea
Jorginho amesharejea full training
Jesus amesharejea but atapumzika week hii
Zincheko amesharejea but ,anaweza akapumzishwa
Smith rowe pia atakuwa amerejea ,Arsenal walichukua tahadhari but Hana injury kubwa

Kwasasa hadi mwisho wa mwezi huu mechi zilizopo zipo ndani ya uwezo wetu kukusanya points zote

Tunaanza na Burney
 
Partey ananipa mashaka. Nafikiri arsenal wanasema anarudi kutuliza mashabiki. Zikibakia siku 2 kabla ya mechi utasikia aliumia tena mazoezini.

Huenda injury yake ni kubwa sana au wale wanaomshitaki wanatusumbua juu ya ile kesi yake.
 
Akae hukohuko hospitalini hatumtaki tena...akirudi kuna siku tutakuja kumpiga mtu goli 10 na Ball possession ya 90% halafu watu waandame na wagome kucheza na sisi bure🤠🤠...
Partey ananipa mashaka. Nafikiri arsenal wanasema anarudi kutuliza mashabiki. Zikibakia siku 2 kabla ya mechi utasikia aliumia tena mazoezini.

Huenda injury yake ni kubwa sana au wale wanaomshitaki wanatusumbua juu ya ile kesi yake.
 
Hivi Mudryk atakuwa akiangalia Arsenal anawaza nini? Timu yake ina mastar kibao lakini bado hawajafika juu. Sisi hatuna Timber, hatuna Tomiyasu, hatuna Partey na sometimes hatuna Jesus lakini tunapambana. Hatakuwa anatamani kuwa kwetu kweli?
Utashangaa mudryk ananyanyua kwapa kabla ya hizo kondoo zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…